Recent content by mrs fiance

  1. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Nilizaa na mwanamke mtoto wangu kapewa mume mwingine, nifanyeje?

    Pole. Japokuwa chanzo cha matatizo yote haya ni wewe.
  2. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Nataki niweke blue tick kwenye account yangu ya Instagram

    Ninachojua verified Instagram wanakupa wenyewe na kuna vigezo huwa najua wanaangalia. Kama ingekuwa inapatikana kirahisi hivyo basi watu wengi wangekuwa nayo. Na hasa wasanii, Watu wa 2.16m na kuendelea...uje upate kirahisi hivyo..
  3. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Mahali gani nikasome ili nitimize malengo yangu?

    Watu wana utani kwenye userious
  4. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Gwajima atembelea Clouds media, asema yeye amekuwa mwanafamilia wa Clouds

    Na hizi nyimbo za mafumbo wanazo wekewa baba na Mtoto. Naona wanatamani wakavamie studio kwa Mara ya pili tena....Maji yamezidi unga...
  5. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Gwajima atembelea Clouds media, asema yeye amekuwa mwanafamilia wa Clouds

    Ngoja tusikilize anaweza akawapongeza kwa kumleta Mchungaji Gwajima
  6. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Tecno smart phone ni shidaaaaaa

    Mimi yangu tatizo ninaloliona ni la 09/ haya mengine kwangu mapya. Na tecno yangu ipo vizuri tu.#achananacmfake na natumia #Gosms kwa hivyo hiyo changamoto nimelitatua..
  7. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Gwajima atembelea Clouds media, asema yeye amekuwa mwanafamilia wa Clouds

    Umenifanya nichukue earphone nisikilize....
  8. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Ushimen

    hapana hapana
  9. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Msaada;Eti ni kweli mkojo ni dawa ya ukimwi

    Nenda kwa #usipojipangantakupanga ndo utajua matumizi sahihi na mirejesho yake
  10. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Kumbe kugombana kwa wapendanao ndio kupatana

    Mimi hata siulizagi kisa cha kugombana. Nafungaga bakuli langu na kuacha masikio yangu on tu baasiii. Nakuwa ndugu mtazamaji na msikilizaji tu....
  11. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Ushimen

    Happy birthday #ushimen ukue zaidi na zaidi
  12. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Mada Star TV: Mitandao ya kijamii ifungwe?

    Nahisi #mangekimambi anawanyima usingizi ndo maana wanajidai wanajadili na baadae waifungie mitandao ya kijamii
  13. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya kokwa za embe kubana uke

    Ajali kazini
  14. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya kokwa za embe kubana uke

    Sasa wakati wa kuchepuka. Mara unapata kale kagonywa pendwa, sijui uzee utaulia wapi ...mkeo ataondoka na utamu wake natania bwana endelea tu kuchepuka....
  15. mrs fiance

    JamiiForums Tanzania Watangazaji Clouds wavunja rasmi "urafiki" na Makonda, sasa kutangaza habari bila maelekezo toka juu

    Akili zao zilishikwa kwa mda.....
Back
Top Bottom