Nafanya kazi tasisi fulani ,sijaajiriwa nafanya kama contract nimefanya nao kwa muda wa miaka mitano hivi. Elimu yangu ni ya Secondary ambaye nilifeli kidato cha nne yaani sikupata Certificate (Ziro).
Kazi ninayofanya ninafanya vizuri kwani Management inakubali utendaji wangu. Naomba kujua ni Chuo gani nawezakupata kozi ya Teller kwani nikipata hii kozi nirahisi kwangu kupata ajira ya kuajiriwa. Nilishawahi kuvolunteer hii kazi kwa sasa ninachohitaji ni kupata chuo niweze kusomea hii kozi.
Naomba Msaada wenu ndugu zangu. Asanteni Sana.