MIKERA MECH. ENGINEERING
Senior Member
- Mar 15, 2016
- 118
- 87
Napenda kuchukua fursa hii kumtakia heri ya kuzaliwa Mzee kijana mtanashati kutoka ushirombo, anaefahamika humu jukwaani kwa jina maarufu Ushimen
MUNGU MWENYEZI AKUJAALIE UMRI MREFU WENYE KUKIRIMIWA HEKIMA NA BUSARA.
Hongera kwa wazazi waliokuzaa,hongera kwa mwanamke anaekutunza.
Hongera kwa watoto waliobahatika wewe ukawa baba yao.
Tafadhali keki tuikate wote baada ya kazi kama ilivo ada .