Recent content by Mrs c

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, unamuona rais wa Ufaransa suala la polisi kuuawa?

    Sijawahi kuona rais kichwa maji kama huyo
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

    Jitahid kufanya mapenzi taa ikiwa inawaka ili uone kitambaa unachopewa kisafi na pole pia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

    Kwa hiyo hata mama yako ni mwanaume si Tanzania hakuna wanawake
  4. M

    JamiiForums Tanzania Us Green Card Lottery

    Mi mume wangu alipata green card na sasa tupo marekani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Jaman na masanja nae mi namuona fake pia anatafuta tu hela uchungaji wake upo kibiashara
  6. M

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge

    Hiv hakuna watu wengine kila siku haohao
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa USA kutotambua Uislam katika sherehe za kuapishwa kwa Trump

    Mi niko marekani hakuna hata sikukuu moja ya kislam inayotambulika huku nazan hawatambui hiyo dini.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali kwa watanzania wanaoishi Marekani pita hapa

    Mi niko marekani mume wangu alipata hiyo green card inategemea na mji gan unaenda. Si tuko Massachusetts kazi zipo nyingi lakin ungekuja mwenyewe kwanza ujiandae vizur ndo uchukue familia baadae
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    Tambaza gym pale makaburini karibu na shule ya muhimbili
  10. M

    JamiiForums Tanzania Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

    Yemwenyewe mikao yake kama shoga
Back
Top Bottom