Recent content by Mringa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wapi Hospitali nzuri Kukatwa "Govi" Kijana wa Miaka 30?

    hospitali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania to Tender nine PPP Transportation Projects

    But there appear 8 projects and not 9 as stated. please which is the nineth?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuongeza size ya machine

  4. M

    JamiiForums Tanzania Matibabu Nchini India "Si Lolote!, Si Chochote!, ni Biashara Zaidi!.

    mie ndugu yangu ameenda amrudi kwenye sanduku. Kupona ni majaliwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania We Are Building For You

    pererge naona umepotoka, maana yake ni kuwajulisha watanzania hasa wana dar es salaam kuwa ujenzi wa barabara unaendelea,na kwamba mradi huo ni wao. sioni kama kuna tatizo lolote hapo.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 22 wafukuzwa Nyegezi Seminary kwa tuhuma za ushoga

    Hapa ni lazima kutofautisha ulawiti na ushoga, kwani si mashoga wote wanalawiti(wa) na wala si watu wote wanaolawiti ni mashoga, ingawa vitu hivyo vina mpaka mwembamba sana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

    kwanza nina uhakika watu hao hawapo. total mockery!!! Jamaa ameamua kuwa mchekeshaji, nenda ze komedy.
  8. M

    JamiiForums Tanzania ITV yaanika kila kitu na ushahidi wa kutosha kuhusu mauaji ya mwandishi huko Iringa

    Poor reasoning capacity!! Hivi kuwa mwanachama wa CDM au chama kingine cha upinzani ni uhaini Hapa Tanzania? Ni nani aliyewapa polisi leseni ya kuua raia badala ya kuwalinda?? Mie nafikiri pamoja na mitizamo yetu tofauti kwa hili ni lazima tujue kwamba uhai wa binadamu umeondolewa kimakosa na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Eng. Muhando na mabosi wake: Siri yafichuka, anaeimaliza TANESCO NI JK

    Mhhhh!! Everybody for himself, God for us all. Hii haiwezekani ikawa kweli.
  10. M

    JamiiForums Tanzania New Habari leo watoa gazeti la kila wiki la kurasa 72 litakalouzwa Afrika Mashariki nzima

    where is the front page??
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

    Asante kwa maelezo tutajaribu, lakini hilo la nywele naona litakuwa gumu. Naomba nielimishwe Halilaji ndio nini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

    Baba yangu ana umri wa miaka zaidi 80 na ameathirika na ugonjwa wa kusahau hata watoto wake. Inafikia mahali mtoto wake wa kumzaa anajieleza kuwa mimi ni fulani halafu yeye anamuuliza; fulani wa nani. je atumie dawa gani ili aweze kupona ugonjwa huu?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania to become eighth largest Uranium producer in the world

    Very soon we will be number one producer of uranium considering the ongoing exploration in the central zone. of importance!! who is the beneficiary of all this? Vp mikataba imekaaje, hilo ndilo jambo la msingi not the quantity of the available uranium.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tunaomba radhi kwa mapungufu yaliojitokeza

    Maana ya figure ya kwanza ni; 11,889,078,000,000/= naomba jaribu kuisoma hivyo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    The meaning of words is in pepole themselves, nafikiri alikuwa akimaanisha zile attack ni za kikazi zaidi kuliko personal. hii ni kawaida hata maofisini watu wantofautiana kikazi lakin they dont take it personal.
Back
Top Bottom