Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

This z normal 4 any humanbeing who overload his or her brain!
 
Amnesia ni ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (lost of memory) ugonjwa huu aghlabu huwatokea vizee na watu wenye matatizo ya akili.

Mara nyingi mgonjwa husahau maneno au majina ya watu wake na mara nyengine husahau hadi jina lake pamoja na ukoo wake mzima, na husau yote yale yaliyopita katika maisha yake.

Sababu kuu ya maradhi haya ni kutengana kwa cells za ubongo kwa maradhi ambayo yanawakumbuka kwa njia moja au njia nyengine kutokana na upungufu wa mwendo wa damu ndani ya mwili.

Maradhi haya pia husababisha mtu kuwa kama "Zuzu" na mtu wa kutojifahamu.

Pia mtu anaekumbwa na maradhi haya mabaya, ima atakumbuka mateso yaliyomkumbuka au atakumbuka utoto wake na ukumbukaji wake unakuwa wa muda mdogo sana hauchukui hata dakika 10 basi tayari anakuwa kishasahau.

Rosemary: ni moja katika dawa inayojulikana kwa kuondoa au kupunguza maradhi haya. Zamani watu walikuwa wkaichemsha majani yake na kuvuta harufu yake pia walikuwa wakitengeza chai kwa majani ya rose mary kwajili wagonjwa.

Lodhi: ni moja katika dawa za kuzidisha Memory. Chukua lozi 10-12 na uziroweshe katika maji usiku wa kucha na uzitoe maganda yake na uzile kila siku. Pia uvute harufu ya Mafuta ya lozi kila asubuhi.

Walnut: nayo ni dawa inayosaidia sana kurudisha memory kila siku asubuhi ule kiasi ya 20gm pamoja na raisin 10 gm.

Apple pamoja na Asali nayo ni dawa nzuri kwa maradhi hayo kila siku uwe unakula pamoja na kikombe kimoja cha maziwa fresh ya ng'ombe.

Saga pili pili manga chembe 5 uchange na asali na unywe asubuhi na jioni kila siku.

Mgonjwa apewe zaidi Maziwa Fresh ya ngo'mbe pamoja na fruits kwa wingi.

tumia kwa kuda wa siku 21 Asubuhi,mchana na usiku kabla ya kula kitu kisha unipe feedBack.
 
Si kweli! mpaka ata jina umesahau! aya we wakike ama wakiume?
 
Makala hii iliandikwa na Dada Subi wa tovuti ya wavuti.com akizungumzia kuhusu umuhimu wa kufanyika kwa utafiti juu ya dhana ya kuwepo kwa uwezo wa mafuta ya nazi katika kutibu na kuzuia ugonjwa wa kusahau wa Alzheimer's unaowaathiri zaidi wazee. Ungana naye katika maoni yake haya.

Baadhi ya watafiti wanasema kiwango fulani cha mafuta ya nazi ni muhimu kwenye chakula kwa kuwa husaidia kupunguza ugonjwa wa kusahau "Alzheimer's" ambao mara nyingi humjia mwanadamu kadiri umri unavyosogelea uzeeni.

Watafiti wanathubutu kusema, huenda mafuta haya ya nazi yakazuia kabisa kupata ugonjwa huo kwa baadhi ya watu.

Ingekuwa vyema na sisi Tanzania tukafanya utafiti kwa jamii ya watu wanaotumia kwa wingi mafuta ya nazi katika mapishi yao, hasa wale waishio mikoa ya mwambao wa pwani ambapo zao ma mnazi hustawi vizuri na kwa wingi.

Pengine hii ikawa pia sababu kujibu suala la kwa nini yapo matukio mengi ya Wazee na Vikongwe wengi kuuawa kikatili katika mikoa kadhaa nchini Tanzania ambayo zao la nazi ni nadra kuonekana sokoni, achilia mbali kutumika kama kiungo katika mapishi na/au matumizi ya kuchua na marashi.

Nimewaza hivyo kwa kuwa wazee wetu wanaouawa mara nyingi utetezi unaotolewa na wauaji ni kuwa mzee alikuwa na "dalili" za uchawi kwa kuwa pengine alikuwa akisema mwenyewe kama mwehu, akiondoka usiku na kutokomea pasikojulikana, alikuwa akivua nguo mbele ya kadamnasi, alikuwa mwoga au kuonekana mwenye wasiwasi wakati wote n.k., bila watu hao kufahamu kuwa kwa ujinga* wa masuala ya afya ya akili ya binadamu yatokanayo na umri, matukio mbalimbali maishani yaliyoathiri akili na fikira, pamoja na hofu ya uzee kwa vitendo walivyotendewa wengine, wanaweza kabisa kuwa sababu ya matatizo (dalili) na kuishia kuwawahukumu baadhi ya wazee hao kifo pasina hukumu ya haki. Ninaamini kuwa, kama ambavyo wapo waliofungwa jela kwa makosa ya kudhaniwa, kusingiziwa, wasiyoyatenda na visasi, vile vile wapo wanaouawa kwa sababu zizo hizo.

Niseme kuwa, zinazotajwa kuwa sababu (naita visingizio) za kumtuhumu mtu uchawi zinalandana na dalili za ugonjwa wa kusahau "Alzheimer's disease" ambazo niliwahi kuziandika wakati nikichangia makala za afya katika gazeti la KwanzaJamii

(unaweza kuzisoma kwa lugha ya Kiingereza katika linki hii:alz.org).

Makala hii ni kwa hisani ya
wavuti.com
Matumizi ya mafuta ya nazi kuzuia ugonjwa wa kusahau (Alzheimer's disease)

WAKUU MSIJE KUPANDISHA BEI YA NAZI MKAJA KUSEMA MZIZIMKAVU NDIO ALIYE SABABISHA KUPANDA KWA BEI YA NAZI MIMI SIMO MCHANGA WA PWANI HUO.
 
Kwa kawaida mbali na kwamba watu wengi hasa wa pwani hupenda tumia mafuta ya nazi, ningependa kuchukuwa fursa hii, kusema au kuwajulisha kwamba mafuta ya nazi na ya pamba ni mafuta hatari katika mwili wa binadamu. mafuta haya ni sawa na mafuta ya wanyama, kwani ni aina ya saturated fatty. mafuta ya aina hii huwa na choresterol, trigylcerides na kiasi kikubwa cha low density lipoprotein. vitu hivyo nilivyo vitaja hapo juu husababisha magonjwa ya moyo na mishipa ya damu. (cardiovascular diseases). na hata ugonjwa huu wa Alzheimer kwa asilimia fulani huambatana na ugonjwa wa mishipa ya damu kichwani.
 
Mhm ta Tibaijuka na Mzizi Mkavu mbona waniacha njia pandakweli ukiona njigi utadhani njege na ukiona njege utadhani njigi.
 
Makala hii iliandikwa na Dada Subi wa tovuti ya wavuti.com akizungumzia kuhusu umuhimu wa kufanyika kwa utafiti juu ya dhana ya kuwepo kwa uwezo wa mafuta ya nazi katika kutibu na kuzuia ugonjwa wa kusahau wa Alzheimer's unaowaathiri zaidi wazee. Ungana naye katika maoni yake haya.
Baadhi ya watafiti wanasema kiwango fulani cha mafuta ya nazi ni muhimu kwenye chakula kwa kuwa husaidia kupunguza ugonjwa wa kusahau "Alzheimer's" ambao mara nyingi humjia mwanadamu kadiri umri unavyosogelea uzeeni.

Watafiti wanathubutu kusema, huenda mafuta haya ya nazi yakazuia kabisa kupata ugonjwa huo kwa baadhi ya watu.

Ingekuwa vyema na sisi Tanzania tukafanya utafiti kwa jamii ya watu wanaotumia kwa wingi mafuta ya nazi katika mapishi yao, hasa wale waishio mikoa ya mwambao wa pwani ambapo zao ma mnazi hustawi vizuri na kwa wingi.

Pengine hii ikawa pia sababu kujibu suala la kwa nini yapo matukio mengi ya Wazee na Vikongwe wengi kuuawa kikatili katika mikoa kadhaa nchini Tanzania ambayo zao la nazi ni nadra kuonekana sokoni, achilia mbali kutumika kama kiungo katika mapishi na/au matumizi ya kuchua na marashi.

Nimewaza hivyo kwa kuwa wazee wetu wanaouawa mara nyingi utetezi unaotolewa na wauaji ni kuwa mzee alikuwa na "dalili" za uchawi kwa kuwa pengine alikuwa akisema mwenyewe kama mwehu, akiondoka usiku na kutokomea pasikojulikana, alikuwa akivua nguo mbele ya kadamnasi, alikuwa mwoga au kuonekana mwenye wasiwasi wakati wote n.k., bila watu hao kufahamu kuwa kwa ujinga* wa masuala ya afya ya akili ya binadamu yatokanayo na umri, matukio mbalimbali maishani yaliyoathiri akili na fikira, pamoja na hofu ya uzee kwa vitendo walivyotendewa wengine, wanaweza kabisa kuwa sababu ya matatizo (dalili) na kuishia kuwawahukumu baadhi ya wazee hao kifo pasina hukumu ya haki. Ninaamini kuwa, kama ambavyo wapo waliofungwa jela kwa makosa ya kudhaniwa, kusingiziwa, wasiyoyatenda na visasi, vile vile wapo wanaouawa kwa sababu zizo hizo.

Niseme kuwa, zinazotajwa kuwa sababu (naita visingizio) za kumtuhumu mtu uchawi zinalandana na dalili za ugonjwa wa kusahau "Alzheimer's disease" ambazo niliwahi kuziandika wakati nikichangia makala za afya katika gazeti la KwanzaJamii

(unaweza kuzisoma kwa lugha ya Kiingereza katika linki hii:alz.org).
Makala hii ni kwa hisani ya wavuti.com

kwa kawaida mbali na kwamba watu wengi hasa wa pwani hupenda tumia mafuta ya nazi, ningependa kuchukuwa fursa hii, kusema au kuwajulisha kwamba mafuta ya nazi na ya pamba ni mafuta hatari katika mwili wa binadamu. mafuta haya ni sawa na mafuta ya wanyama, kwani ni aina ya saturated fatty. mafuta ya aina hii huwa na choresterol, trigylcerides na kiasi kikubwa cha low density lipoprotein. vitu hivyo nilivyo vitaja hapo juu husababisha magonjwa ya moyo na mishipa ya damu. (cardiovascular diseases). na hata ugonjwa huu wa Alzheimer kwa asilimia fulani huambatana na ugonjwa wa mishipa ya damu kichwani.

Pia nazi husababisha ugonjwa wa kuumwa magoti ukifika hali ya utu uzima/uzee.
Ndio maana wakazi na hususan wazee husumbuliwa na maumivu ya magoti.
Mimi ni mwenyeji wa mkoa wa pwani ambako nazi hupatikana kwa wingi

Fungueni website hizi ili mjifunze zaid kuhusu mafuta ya nazi:

http://tlc.howstuffworks.com/family/coconut-oil2.htm

http://www.earthclinic.com/Remedies/coconut_oil.html

http://www.webmd.com/vitamins-supplements/ingredientmono-1092-COCONUT%20OIL.aspx?activeIngredientId=1092&activeIngredientName=COCONUT%20OIL
 
Baba yangu ana umri wa miaka zaidi 80 na ameathirika na ugonjwa wa kusahau hata watoto wake. Inafikia mahali mtoto wake wa kumzaa anajieleza kuwa mimi ni fulani halafu yeye anamuuliza; fulani wa nani. je atumie dawa gani ili aweze kupona ugonjwa huu?
 
Mkuu.@Mringa Baba yako kutokana na umri aliokuwa nao si Rahisi kupona ila ajaribu dawa zangu hizi za Tiba

Mbadala huenda zikamsaidia . Atwange Dawa moja inayoitwa Halilaji achanganye na Asali Safi mbichi ya nyuki

kijiko kimoja kikubwa awe anakunywa kila siku katika maisha yake. Au Apate Mafuta ya siku nyingi ya

Zaituni ajipake nyuma ya kichwa upande wa kichogoni awe anajipaka kila siku inasaidia sana hayo mafuta ya Zaituni ya siku nyingi

kupoza ugonjwa wa kusahau. Au achome nywele za Binadamu katika moto kisha uvute ule moshi au mvuke

wake hii itamsaidia kuondosha ugonjwa wa ahau. Na ingine awe anakula Sana Figili na Samli Safi ya Ng'ombe.

itamsaidia kuondosha ugonjwa sahau. Au ale Zabibu kavu kwa wingi kila siku hiyo pia itamsaidia kuondosha huo ugonjwa wa Sahau.
 
Baba yangu ana umri wa miaka zaidi 80 na ameathirika na ugonjwa wa kusahau hata watoto wake. Inafikia mahali mtoto wake wa kumzaa anajieleza kuwa mimi ni fulani halafu yeye anamuuliza; fulani wa nani. je atumie dawa gani ili aweze kupona ugonjwa huu?

Pole sana..hiyo ni Alzheimer
 
Mzizi mkavu mkuu njoo bana utudadavulie hapa kwenye hii dawa ya kuchoma nywele inahusikaje kima matibabu na dozi yake inaendaje?
 
Back
Top Bottom