Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,320
- 6,806
Mkuu.@Mringa
Baba yako kutokana na umri aliokuwa nao si Rahisi kupona ila ajaribu
dawa zangu hizi za Tiba
Mbadala huenda zikamsaidia . Atwange Dawa moja inayoitwa
Halilaji achanganye na Asali Safi
mbichi ya nyuki
kijiko kimoja kikubwa awe anakunywa kila siku katika maisha yake. Au
Apate Mafuta ya siku nyingi ya
Zaituni ajipake nyuma ya kichwa upande wa
kichogoni awe anajipaka kila siku inasaidia sana hayo mafuta ya
Zaituni ya siku nyingi
kupoza ugonjwa wa kusahau. Au achome nywele za Binadamu
katika moto kisha uvute ule moshi au mvuke
wake hii itamsaidia kuondosha ugonjwa wa ahau. Na ingine awe anakula
Sana Figili na Samli Safi ya Ng'ombe.
itamsaidia kuondosha ugonjwa sahau. Au ale Zabibu kavu kwa wingi kila
siku hiyo pia itamsaidia kuondosha huo ugonjwa wa Sahau.
Mbona hiyo ya nywele za binadamu imekaa "kiganga" zaidi!