MadameX
JF-Expert Member
- Dec 27, 2009
- 7,792
- 3,848
Watanzania wengi wanaenda hospital za kihindi uninformed...hawana full details au recommendation ya mtu aliyeenda kutibiwa tumbo wakati mimi naumwa kichwa. Lazima uhakikisho ya kuwa hiyo hospital aliyoenda ina ubingwa katika hayo matibabu unayotaka ni jambo la muhimu.
Chengine we are price conscious, sio hospital zote ziko juu...zile zenye matibabu ya kuaminika huwa ni expensive
Chengine we are price conscious, sio hospital zote ziko juu...zile zenye matibabu ya kuaminika huwa ni expensive