Kinachofuata ni M4D (Movement for Destruction) wasubiri yatimie.
Laiti kama ungesikiliza ama kuangalia bunge ungeja ni nini huyu mdau anaongea, kuna maneno hajayabainisha hapo maana aliongeza pia kwa kusema, "kitendo cha ninyi mawaziri kusemwa bungeni ni sehemu ya uwajibikaji"....
Hiyo inaonesha hakuna waziri atakaye adabiwa na Bunge, labda muujiza tu utokee Mkuu wa Kaya atumie mamlaka yake.
Huyu mama anajua anachokisema, Hii maana yake kwamba wasiwe na wasi wasi kwa sababu hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa dhidi yao. Kulindana kunaendenlea.
kauli nyingine ni kuwa alisema "wabunge wasome kanuni za bunge na kuzikariri"jana huyu mama wakati akiliahirisha bunge ametoa kauli moja nzito sana ambayo nilitegemea palepale wabunge wote wangeng'aka lkn ikawa kimya.
Makinda alise" ndgugu zangu mawaziri mliosemwa hapa bungeni msichukie na kufika hatua ya kuumia bure, haya yaliyosemwa hapa ni maneno tu na yameishia hapahapa. Msiendelee kuyawaza sana wakati mwingine hata waliowasema wameshaondoka na hata hawayakumbuki"
ndg. Zangu hii ni kauli inatolewa na spika tena mkuu wa bunge kwamba hawa wabunge wetu ni wapiga porojo tu, wakishatoka hapo yameisha na hata hawakumbuki nini walisema.
My take: Kama wabunge hawataichukulia hatua kauli hii, natangaza rasimi mm sitakuwa na imani na mbunge yeyote tena.
Hee!! Magufuli alichanganya Mataulo ofisini nini?Hata sikumbuki vizuri jana waziri mkuu Pinda kazungumza kitu gani wakati akitoa hoja ya kuahirisha bunge.
Nimejitahidi kuvuta kumbukumbu nimekumbuka tu salamu za pongezi kwa Joshua Nassary na Cecilia Pareso pamoja na kuwaombea afya njema mawaziri Mwakyembe, Mwandosya na Magufuli.
Pia Ilikuwa hotuba iliyojaa taarifa za uwongo, eti kiwango cha kufeli kimeongezeka kwa sababu serikali imethibiti sana uwizi wa mitihani. Mtoto wa mkulima shame of you!@%Hotuba iliyotolewa na Mh M.Pinda Waziri mkuu wa Tanzania inatufundisha Watanzania tuwe na mioyo ya kuvumiliana na kustahimiliana katika kuelekea katika maamuzi magumu kwa mustakabali wa amani na utulivu wa taifa letu.
Kwa Watanzania wapenda amani hutuba ya Pinda ya kuhairisha bunge ni hutuba ya kishujaa na ya kizalendo.
Jana huyu mama wakati akiliahirisha bunge ametoa kauli moja nzito sana ambayo nilitegemea palepale wabunge wote wangeng'aka lkn ikawa kimya.
Makinda alise" ndgugu zangu mawaziri mliosemwa hapa bungeni msichukie na kufika hatua ya kuumia bure, haya yaliyosemwa hapa ni maneno tu na yameishia hapahapa. Msiendelee kuyawaza sana wakati mwingine hata waliowasema wameshaondoka na hata hawayakumbuki"
Ndg. Zangu hii ni kauli inatolewa na spika tena mkuu wa bunge kwamba hawa wabunge wetu ni wapiga porojo tu, wakishatoka hapo yameisha na hata hawakumbuki nini walisema.
MY TAKE: kama wabunge hawataichukulia hatua kauli hii, natangaza rasimi mm sitakuwa na imani na mbunge yeyote tena.