Recent content by Mr.Thabit

  1. Mr.Thabit

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina spark K7 ipo condition nzuri, 200000/ imetumika kidogo na bado ipo ktk boksi lake, risiti zipo zilizonunulia.0655327086 inbox
  2. Mr.Thabit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Titanic
  3. Mr.Thabit

    JamiiForums Tanzania Haikuwa sahihi kwa Magufuli kugawa Maburungutu ya pesa hadharani

    Mbona nyie watu wa umma hamjatoa chenu kumsaidia
  4. Mr.Thabit

    JamiiForums Tanzania Dont Undersetimate the Power of Clouds...

    Umenifanya nicheke sanaaa
  5. Mr.Thabit

    JamiiForums Tanzania I am looking for a Job ( IT entry level jobs)

    Huna vigezo vya kuajiriwa wala kujiajiri maana lugha ya kumjibu anaekutafutia kazi tu mbaya.kila mtu anajua kuwa ujuzi hasa wa fani yako unapatikana chuo.sasa umesoma chuo kipi?halaf faham kazi zipo nyingi unaweza kuwa na hadi masters ya IT bado ukafanya kazi nyingi zinazofanana na hiyo.kwa...
  6. Mr.Thabit

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa USA kutotambua Uislam katika sherehe za kuapishwa kwa Trump

    tofautisha nchi inayotawaliwa kidini mfn. kiislam na nchi isiyotawaliwa kidini marekan hvyo dini zote zilipaswa kuwepo
  7. Mr.Thabit

    JamiiForums Tanzania I am looking for a Job ( IT entry level jobs)

    umemaliza wapi
  8. Mr.Thabit

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    Jiangalie uwe unachangia mada kwa reserch...ww una IQ gani
  9. Mr.Thabit

    JamiiForums Tanzania Vijana waliokua wanashinda kwenye Mdegree na Kujadili siasa Walalama kuhusu GPA ya 3.8

    halaf anaonekana social media zote anazijua kazitaja vizur,
  10. Mr.Thabit

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji huu wa gazeti la Uhuru ni kwa manufaa ya nani?

    sema kama unataka kuwa mhariri wetu
  11. Mr.Thabit

    JamiiForums Tanzania Nauza playstation 2 zipo 6, na TV zake inch 21 zipo 6

    nashangaa na mm
  12. Mr.Thabit

    JamiiForums Tanzania Ulinzi kwenye SIMU YAKO ya android..!

    how it works?na elf 5 kwa kila muda gan nalipa?je device nyingine huziwekei kama laptop,pikipiki n.k
  13. Mr.Thabit

    JamiiForums Tanzania Line ya tigopesa mpesa na airtel zinauzwa

    upo mkoa upi
  14. Mr.Thabit

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Ally Salum Hapi

    ww mtoa mada acha unafiki....unapotoa maelezo toa na hint...ushahidi sio unapayuka tu unang'ang'aniiiiiiiiia mara mwaka huu mara mwake ule kachukua hela.alivyoenda kuchukua hela mlikuwa wote?hadi ukaona au weka ushahidi .....physical evidence.jenga hoja acha kupotosha watu kama siasa huijui...
Back
Top Bottom