I am looking for a Job ( IT entry level jobs)

VLAN999

Senior Member
Dec 18, 2016
124
84
Wakuu habari, nina degree ya Information Systems (IT), na nina Certificate ya Cisco CCNA (Route/Switch).

Natafuta entry level job in IT, ninajua zaidi kufanya Computer Networking, kufanya Configurations za Routers,Switches na firewalls kama Cisco ASA na Cyberoam, kufanya kazi za system administration (Windows Server)

Pia ni mzuri kwenye kufanya day to day troubleshootings (Hardware/Software). Na pia ninaweza hata kufanya installation za CCTV cameras. Kwa sasa niko nafanya internship mahali ila I think I am ready for the next step.

Kwa atakayeguswa ani-pm kwa mawasiliano zaidi. Asanteni
 
Duh! Hamna mtu wa kunisaidia kweli? Direction? Nini cha kufanya? Kweli naisoma namba.
 
Majibu mepesi na haraka wanasema hiviii JIAJIRI.
Kujiajiri sio rahisi mkuu sio kwamba sipendi, na nature ya vitu ninavyofanya sioni namna ya kujiajiri, labda ningekua nafanya development ya applications na websites of which I don't.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Kujiajiri sio rahisi mkuu sio kwamba sipendi, na nature ya vitu ninavyofanya sioni namna ya kujiajiri, labda ningekua nafanya development ya applications na websites of which I don't.
IT!!! Mkuu acha masihala bhana kwa nini ujifungie kwenye hiko ulichobobea? Huwaangalii trends ya soko likoje
 
Kujiajiri sio rahisi mkuu sio kwamba sipendi, na nature ya vitu ninavyofanya sioni namna ya kujiajiri, labda ningekua nafanya development ya applications na websites of which I don't.
mie IT mwenzako lakini napga kaz ya kuzoa taka for 5hours kwa siku 3 kwa wiki, ila nahc napesa kuliko ict oficer 1 wa gvt, ila nawaheshimu wale wanaoingza nyimbo mtaani wapo vyema, analaza hadi 35elfu pa day! c lazima uwe kama sisi ila embu tazama cpu kwa upande wa nyuma
 
yawezekana una tatizo la lugha, kwa maana kujieleza kwa lugha ya kiingereza ambalo ni tatiza la wa tanzania wengi, na kama ni hivyo jaribu kujifunza lugha hiyo, elimu haina mwisho
 
Wakuu habari, nina degree ya Information Systems (IT), na nina Certificate ya Cisco CCNA (Route/Switch), natafuta entry level job in IT, ninajua zaidi kufanya Computer Networking, kufanya Configurations za Routers,Switches na firewalls kama Cisco ASA na Cyberoam, kufanya kazi za system administration (Windows Server), pia ni mzuri kwenye kufanya day to day troubleshootings (Hardware/Software). Na pia ninaweza hata kufanya installation za CCTV cameras. Kwa sasa niko nafanya internship mahali ila I think I am ready for the next step.
Kwa atakayeguswa ani-pm kwa mawasiliano zaidi. Asanteni
umemaliza wapi
 
Muajiri mzuri huangalia attitude
Kama atatumia kigezo hicho bas umefail

Rekebisha majibu yako
 
Wakuu habari, nina degree ya Information Systems (IT), na nina Certificate ya Cisco CCNA (Route/Switch).

Natafuta entry level job in IT, ninajua zaidi kufanya Computer Networking, kufanya Configurations za Routers,Switches na firewalls kama Cisco ASA na Cyberoam, kufanya kazi za system administration (Windows Server)

Pia ni mzuri kwenye kufanya day to day troubleshootings (Hardware/Software). Na pia ninaweza hata kufanya installation za CCTV cameras. Kwa sasa niko nafanya internship mahali ila I think I am ready for the next step.

Kwa atakayeguswa ani-pm kwa mawasiliano zaidi. Asanteni
Ulipo sema huwezi kujiajili ndipo ulipo nivunja moyo mwana IT mwenzangu mimi nilipo maliza tu nilijikita kwenye programing najambo lakwanza nilianza kujifunza namna ya kutengeneza virus (huyu nilimwita usb virus ilikuwa nikichomeka flash yangu kwenye computer yoyote nikiwa nimemseti mdudu wangu ndani ya saa moja lazima computer izime ndipo chuoni walipo anza kuniita freemaon haya sikujifunza shuleni ila niliamua kujifunza namna ya kubomoa toka kwenye chuo cha wizi kiitwacho hack background kipo israel kupitia mtandao (IT ni somo zuri sana kwakujiajili kuliko kuajiliwa kwani nilijifunza vingi sana namna ya kuchukua pesa kwenye ATM kwanjia ya mshumaa ila mfumo huu ulikuwa zamani mengi njoo inbox acha kulalamika kazi wakati unatembea na ufunguo wa benk
 
Huna vigezo vya kuajiriwa wala kujiajiri maana lugha ya kumjibu anaekutafutia kazi tu mbaya.kila mtu anajua kuwa ujuzi hasa wa fani yako unapatikana chuo.sasa umesoma chuo kipi?halaf faham kazi zipo nyingi unaweza kuwa na hadi masters ya IT bado ukafanya kazi nyingi zinazofanana na hiyo.kwa mfano ungekuwa na lugha nzuri ya kunijibu basi nilitaka kukufahamisha upite wapi ili ukafanye kazi ya kutatua matatizo ya kampuni na wateja kupitia social media na kuwapigia au kupokea simu zao kwa niaba ya kampuni.na kwa kuwa fundi basi software na hardware pia unge repair mwenyewe zikitaka maintenance.hata network pia.ila kwa attitude yako ushafail interview naona utawajibu zaidi vibaya wateja. kula jeuri yako
 
Kwanza nilivyoona tu umerudi nikajua hili ni povu unakuja kutoa hapa, iko hivi maswali kama "umemaliza wapi" ni swali la kijinga kabisa, nyie ndio mnaajiri watu kwa kubagua vyuo, halafu kumsaidia mtu sio mpaka umuulize maswali ya dharau, kwanza wanaosaidiaga hata huwa hawaji kubwabwaja kwenye thread, huwa wanakuja pm. Na walishakuja baadhi, niko kwenye hatua nzuri na sina shida na msaada wako. Kaa na dharau zako. Halafu mi sina kiburi, ila watu kama wewe huwa siwaachi, nakuchana hapohapo, natafuta kazi ila I am not that desperate to torelate upuuzi.
 
Ulipo sema huwezi kujiajili ndipo ulipo nivunja moyo mwana IT mwenzangu mimi nilipo maliza tu nilijikita kwenye programing najambo lakwanza nilianza kujifunza namna ya kutengeneza virus (huyu nilimwita usb virus ilikuwa nikichomeka flash yangu kwenye computer yoyote nikiwa nimemseti mdudu wangu ndani ya saa moja lazima computer izime ndipo chuoni walipo anza kuniita freemaon haya sikujifunza shuleni ila niliamua kujifunza namna ya kubomoa toka kwenye chuo cha wizi kiitwacho hack background kipo israel kupitia mtandao (IT ni somo zuri sana kwakujiajili kuliko kuajiliwa kwani nilijifunza vingi sana namna ya kuchukua pesa kwenye ATM kwanjia ya mshumaa ila mfumo huu ulikuwa zamani mengi njoo inbox acha kulalamika kazi wakati unatembea na ufunguo wa benk
Thanks mkuu I wish I could go back to programming but I can't, na kusema ukweli kuwa huwezi kitu fulani sio dhambi as long as umefocus sehemu unayoiweza vizuri, maybe from here ntafocus into Cybersecurity. Tuombeane uzima tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom