Gazeti la chama tawala linapojikita kuandika habari za uongo siyo dalili nzuri kwa chama tawala na serikali. Binafsi naamini kwamba propaganda za gazeti la chama ni mawazo ya serikali pia.
Jana kuna gazeti liliandika kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa Arusha CCM kidedea ila taarifa za watu wa arusha wanasema CHADEMA imeshinda mitaa mingii kuliko CCM.
Kwani nini mnataka kujenga taifa lenye watu waongo..gazeti la chama kuandika uongo ni UBWEGE.