Nauza playstation 2 zipo 6, na TV zake inch 21 zipo 6

Plutoz

Member
May 13, 2015
18
6
Nauza playstation 2 zipo 6 na tv chogo zipo 6

Playstation zina pad mbili kila moja jumla pad 12 za mtumba nzuri kwa biashara

Playstation zipo kwenye mfumo wa kutumia flas

Playstation zina vifaa vyake kama flash memory card

Kila flash ina michezo ndani yake

Pia meza mbili kubwa na benchi zake
cable mbili za umeme

Kiufupi nauza ofisi nzima nauza kwa pamoja

Bei ni ya kupatana kuelewana

ila ukitaka reja reja playstation moja pamoja na pad zake mbili nauza kwa 150000 na tv nauza elfu tisini


WASILIANA NA MIMI KUPITIA NAMBA ZITUATAZO

0712400460 au 0687425170
 
Nauza playstation 2 zipo 6 na tv chogo zipo 6

playstation zina vifaa vyote kama flash memory na pad zipo 12 nzuri za mtumba znafaa kwa ajili ya biashara

pia nauza na meza kubwa mbili na benchi zake za kukalia

nauza kwa pamoja bei maelewano

ukitaka bei ya reja reja playstation moja na pad zake mbili nauza 150000 na tv moja nauza elfu tisini


mawasiliano : 0712400460 au 0687425170
 
Back
Top Bottom