Bonjour wanaJF!
Matukio mbalimbali katika maisha huwa yanafikirisha sana. Na humfanya mwanadamu atafakari ni nini hasa kipo nyuma yake. Kwanini yanatokea. Tunaweza tukaishia kusema ni mipango ya Mungu katika matukio kama mafuriko, tsunami au matetemeko ya ardhi kama ya kule Kagera. Lakini yale...
Mkuu hebu nisaidie, home theatre yangu, ni sony ina tatizo au katabia kamoja. Unaweza izima katika ukawaida, ukija kuwasha unakuta sauti haipo. Unaweza jaribu kuiwasha even a week lakini sauti haipo. Over a sudden ukiwasha inatoa sauti. Hili suala limetokea mara ya 3 sawa, nini yaweza kuwa shida?
Vision ya mkulu ni kuifanya TTCL kama kampuni pekee ya mawasiliano Tz.... Mission yake ni kuua haya makampuni mengine.. Ndio kaanza kuichukua airtel (ttcl v airtel saga) then voda.... Na ttcl ukiwaangalia wameanzia kujiboresha zaidi kwenye data(ambayo ndio future ya mawasiliano)..
Ni suala la...
Tuanzie kipengele cha pili (kwani kuna level ngapi?)
Wachumi(Benkk ya dunia) imezigawanya chumi za nchi katika makundi matatu.
Nchi za kipato cha juu (nitaziita NKJ), Nchi za kipato cha kati(nitaziita NKK) na Nchi za kipato cha chini (nitaziita NKC). Vigezo mbalimbali vinatumika kuashiria...
Kuna jamaa yangu ni askari magereza, kila tukikaa kwenye vikao vya 'viti virefu' huwa haachi kugumia maumivu ya kupigwa 6 Mil za Qnet.... Wasiwasi wangu nadhani ipo siku atamfyatulia risasi mtu wa Qnet aliyemuunganisha.[emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.