Tuwasaidieni vyama vya upinzani

Tuwasaidieni vyama vya upinzani

Rebeca 83 unaweza kuwa Una lengo zuri ila umeshindwa kuiweka vizuri ili ueleweke.

1. Unaposema wawe wanashiriki project zinawahusu wananchi mfano kwenye Afya na matibabu, Mara ngapi tumesikia Upinzani wameenda kutembelea Wagonjwa lakini wamekatawa?

2. Unasema hakuna mtu wa Ukawa wa kupiga soga kwenye Media, hivi hawa wanaovamiwa na Polisi wawapo kwenye Press ni wakina nani?

Wewe ni mgeni kwenye hii nchi?

born and bred in Tanzania...

1.kutembelea wagonjwa ni jambo la kheri na yeyote anayelipinga hili tumlaani kwa nguvu zote!..mie sijawahi kulisikia hili unless hawakufuata taratibu,sioni why mtu akatazwe kuona wagonjwa,inawezekana uko right ila sijaelewa Why?

2.Mie naonaga viongozi wa Chadema kwenye press,sijawahi kuona mropokaji/mpiga soga wa Chadema equivalent na polepole ,,,,anyway Mwifwa amepoint out policcm ni tatizo….sasa msuggest hao policcm tuwafanyeje?
 
nimesahau tume huru,kila siku wapinzani wanalia na hili,je kama kuna ushahidi serikali imecheza faulo...haiwezekani kushitakiwa kwenye mahakama za kimataifa??mnaojua sharia tusaidieni
Kama hawana huo ushahidi wa kuthibitisha hizo faulo kwa mahakama za hapa ndani watapata wapi ushahidi wa kuzithibitisha kwenye mahakama za kimataifa?
 
born and bred in Tanzania...

1.kutembelea wagonjwa ni jambo la kheri na yeyote anayelipinga hili tumlaani kwa nguvu zote!..mie sijawahi kulisikia hili unless hawakufuata taratibu,sioni why mtu akatazwe kuona wagonjwa,inawezekana uko right ila sijaelewa Why?

2.Mie naonaga viongozi wa Chadema kwenye press,sijawahi kuona mropokaji/mpiga soga wa Chadema equivalent na polepole ,,,,anyway Mwifwa amepoint out policcm ni tatizo….sasa msuggest hao policcm tuwafanyeje?
Mambo dada?
 
Uko sahihi Revecca hasa hapo kwa mpiga Soga. Ofisi ya CHADEMA inatakiwa kufanya wanachi wajue msimamo wa kila jambo ambalo serikali inaenda sivyo au inafanya. Inatakiwa kutoa Kauli rasmi ya chama. ila naona mashinji kama anapwaya.

Serikali/ rais anazungumza against kupanga uzazi basi Mashinji alitakiwa kutoa msimamo rasmi wa chama kuhusu hilo. Serikali ikifunga/ ikifungua mipaka kuhusu kuuza mazao wanatakiwa kutoa mawazo. Tunasema je tutumie kiswahili hadi huo kikuu? chama kinatakiwa kutoa msimamo, watu wakorosho wanakatwa pesa chama kinatakiwa kutoa msimamo. wanatakiwa kutoa msimamo kote kwenye utalii, michezo, kilimo, biashara, viwanda, madini nk. si kuna mawaziri kivuli? wao wanafikiri wakiandika ilani basi wamemaliza. wanatakiwa kuendesha serikali kivuli ambayo itakuwa na majibu mbadala. Na hili halihitaji mkutano wa hadhara.

Iliyopo inaonyesha upinzani wanataka kwanza washike nchi nchi ndiyo waanze kufikiria jinsi ya kuiendesha!!. hakuna mtu atampa nchi mtu wa hivyo asiye na plan.
 
Moja Mbowe is not aggressive may be Chama kinahitaji mtu aggressive nadhani hata makamanda wanajua hili ila wamepima trade offs za kumuachia mbowe aende ni more damaging than good…(dilemma)….

Mbili hakuna mtu wa UKAWA wa kupiga SOGA kwenye media,mnaonaga akina Polepole wakipiga porojo kwenye media mnaweza kuwadharau ila wanaweka chama chao kiendelee kuwa masikioni kwa watu, kukosekana kwa mbadala kunamaanisha vyama vingine vising’ae……

Kushiriki katika projects zinazowahusu wananchi moja kwa moja,kama matibabu,afya nk,najua mtasema hamna vyanzo vingi vya mapato lakini mmeshajaribu kupitisha harambee watu wakachangia maendeleo yao wakakataa???...mmejaribu kutafuta misaada huko nje,kwenye taasis za misaada(NGO’S)…???..mkiwa engage wananchi watawakumbuka kwenye chaguzi , sio sasa hivi tunawaona wakati wa uchaguzi mnakurupuka huko mafichoni mlikokua na candidates ambao wako least popular….(by the way kwa vile CCM haifanyi hili la kuchangisha haina maana na nyie msifanye)….hizi projects zikitangazwa kwenye media tofauti tofauti ,online magazeti etc..mtapata support na at the same time mtakua MNATANGAZA chama chenu…..msikadhanie online peke yake.i still think watu bado wanatumia magazeti ingawa matumizi ya internet yanakua…..

Ningependa pia kuona mna mkakati wa kuact kuhusu hili swala la wanachama wenu kuhamia CCM,msipofanya lolote au kuwa passive jueni mtamaliza viongozi wenu wote kuhama na kufanya wananchi wawe confused even more………….kuwe na mkakati wa kuact as shock absorber in this changing environment…(sijui mfanye nini kuhusu hili,lol)

Reshuffle viongozi wenu,wale wazoefu wakae back seat na wapya wakae siti za mbele…miaka miwili inatosha kwa sura mpya kuzoeleka kwa wananchi na pia ni muda wa kutosha kwa hao viongozi wapya kuwa COACHED na viongozi wa zamani…

Nyingine jazieni tuwasaidie makamanda…
Sasa ukisema Mbowe awe aggresive huoni kama unachochea vurugu ?Watanzania tumezoea siasa za nguvu za hoja na si hoja za nguvu.
 
hizo zote ngonjera.
Shida IPO NEC kwenye mabox YAKE ya kura.
KWANI KUNA UBAYA CCM WAKISHINDA?
ubaya unakuja CCM KUSHINDA KWA NJIA ZA PANYA.
raia ndo wataamua wapige kura chama gani.wakikipenda CCM.sawaaa.kwani kuna ugomvi?
 
Kama hawana huo ushahidi wa kuthibitisha hizo faulo kwa mahakama za hapa ndani watapata wapi ushahidi wa kuzithibitisha kwenye mahakama za kimataifa?
Nina imani ushahidi upo, ila mahakama zetu zinashinikizwa kuupuzia.
 
Kama mimi yani!
Sijamaliza kusoma uzi wako Rebeca 83, sio kwamba nimeshindwa la hasha.....nimeishia kwenye hii nukuu

Mbili hakuna mtu wa UKAWA wa kupiga SOGA kwenye media,mnaonaga akina Polepole wakipiga porojo kwenye media mnaweza kuwadharau ila wanaweka chama chao kiendelee kuwa masikioni kwa watu, kukosekana kwa mbadala kunamaanisha vyama vingine vising’ae……

Halafu nikatafakari jinsi intelijensia ya policcm ilivyoimara kwa mambo ya CHADEMA
 
nani asiyejua mnaenda kwenye kifo chenu wenyewe...ninachoona hapa ni makamanda mko kwenye denial...kama mmeielewa topic yangu mlitakiwa mchangie positively nini kifanyike na sio kumkebehi Becky
Kumbuka hapa unashauri nyumbu.
 
Idara ya uenezi ya Chadema imekufa...
Katibu mkuu Chadema nae hoi..
Wanapitwa hata na yule katibu mwenezi wa ACT MAENDELEO..
Japo baba Yao na mkali wao ni Polepole
 
Uko sahihi Revecca hasa hapo kwa mpiga Soga. Ofisi ya CHADEMA inatakiwa kufanya wanachi wajue msimamo wa kila jambo ambalo serikali inaenda sivyo au inafanya. Inatakiwa kutoa Kauli rasmi ya chama. ila naona mashinji kama anapwaya.

Serikali/ rais anazungumza against kupanga uzazi basi Mashinji alitakiwa kutoa msimamo rasmi wa chama kuhusu hilo. Serikali ikifunga/ ikifungua mipaka kuhusu kuuza mazao wanatakiwa kutoa mawazo. Tunasema je tutumie kiswahili hadi huo kikuu? chama kinatakiwa kutoa msimamo, watu wakorosho wanakatwa pesa chama kinatakiwa kutoa msimamo. wanatakiwa kutoa msimamo kote kwenye utalii, michezo, kilimo, biashara, viwanda, madini nk. si kuna mawaziri kivuli? wao wanafikiri wakiandika ilani basi wamemaliza. wanatakiwa kuendesha serikali kivuli ambayo itakuwa na majibu mbadala. Na hili halihitaji mkutano wa hadhara.

Iliyopo inaonyesha upinzani wanataka kwanza washike nchi nchi ndiyo waanze kufikiria jinsi ya kuiendesha!!. hakuna mtu atampa nchi mtu wa hivyo asiye na plan.
Watapewa kesi za uchochezi na kusweka lupango ili kunyamazishwa,siasa za nchi hii zimekua mgumu mno kwa upinzani.
 
Rebeca 83 unaweza kuwa Una lengo zuri ila umeshindwa kuiweka vizuri ili ueleweke.

1. Unaposema wawe wanashiriki project zinawahusu wananchi mfano kwenye Afya na matibabu, Mara ngapi tumesikia Upinzani wameenda kutembelea Wagonjwa lakini wamekatawa?

2. Unasema hakuna mtu wa Ukawa wa kupiga soga kwenye Media, hivi hawa wanaovamiwa na Polisi wawapo kwenye Press ni wakina nani?

Wewe ni mgeni kwenye hii nchi?
Mpinzani gani kavamiwa akiwa kwenye press
 
Idara ya uenezi ya Chadema imekufa...
Katibu mkuu Chadema nae hoi..
Wanapitwa hata na yule katibu mwenezi wa ACT MAENDELEO..
Japo baba Yao na mkali wao ni Polepole
Yule mzee Polepole yeye ni CCM anaweza kuongea vyovyote awezavyo hakuna wa kumgusa.Hawa wengine wakithubutu kufanya hivyo wataenda kupekuliwa majumbani mwao, wataitwa uhamiaji, wataambiwa wamekwepa kodi, hawalipi umeme ili mradi taabu tupu
 
nani asiyejua mnaenda kwenye kifo chenu wenyewe...ninachoona hapa ni makamanda mko kwenye denial...kama mmeielewa topic yangu mlitakiwa mchangie positively nini kifanyike na sio kumkebehi Becky
Hawajui wewe kamanda mwenzao
 
Moja Mbowe is not aggressive may be Chama kinahitaji mtu aggressive nadhani hata makamanda wanajua hili ila wamepima trade offs za kumuachia mbowe aende ni more damaging than good…(dilemma)….

Mbili hakuna mtu wa UKAWA wa kupiga SOGA kwenye media,mnaonaga akina Polepole wakipiga porojo kwenye media mnaweza kuwadharau ila wanaweka chama chao kiendelee kuwa masikioni kwa watu, kukosekana kwa mbadala kunamaanisha vyama vingine vising’ae……

Kushiriki katika projects zinazowahusu wananchi moja kwa moja,kama matibabu,afya nk,najua mtasema hamna vyanzo vingi vya mapato lakini mmeshajaribu kupitisha harambee watu wakachangia maendeleo yao wakakataa???...mmejaribu kutafuta misaada huko nje,kwenye taasis za misaada(NGO’S)…???..mkiwa engage wananchi watawakumbuka kwenye chaguzi , sio sasa hivi tunawaona wakati wa uchaguzi mnakurupuka huko mafichoni mlikokua na candidates ambao wako least popular….(by the way kwa vile CCM haifanyi hili la kuchangisha haina maana na nyie msifanye)….hizi projects zikitangazwa kwenye media tofauti tofauti ,online magazeti etc..mtapata support na at the same time mtakua MNATANGAZA chama chenu…..msikadhanie online peke yake.i still think watu bado wanatumia magazeti ingawa matumizi ya internet yanakua…..

Ningependa pia kuona mna mkakati wa kuact kuhusu hili swala la wanachama wenu kuhamia CCM,msipofanya lolote au kuwa passive jueni mtamaliza viongozi wenu wote kuhama na kufanya wananchi wawe confused even more………….kuwe na mkakati wa kuact as shock absorber in this changing environment…(sijui mfanye nini kuhusu hili,lol)

Reshuffle viongozi wenu,wale wazoefu wakae back seat na wapya wakae siti za mbele…miaka miwili inatosha kwa sura mpya kuzoeleka kwa wananchi na pia ni muda wa kutosha kwa hao viongozi wapya kuwa COACHED na viongozi wa zamani…

Nyingine jazieni tuwasaidie makamanda…
Kuzungumza na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi siyo jambo dogo mateso yaliyopo vituo vya polisi na kukoseshwa ugali wa familia yako yameanza kuzaa matunda kwa chama tawala. Kama hamjui hili muulizeni Mtatiro.

Hakuna media itakayomhost mtu wa upinzani isiitwe kwenda kujieleza kwa HASSAN Abbas kwanini imetenda kosa hilo lisilojulikana. Media ni business hakuna mtu atakayetaka kuharibu biashara yake kwa kumuita Mwalimu au mbowe kwenye ofisi zake.

Kuna mengi Wanayapitia kina Mbowe na wapinzani kwa ujumla sema wanaujasiri ambao hakuna mtanzania mwingine mwenye ujasiri kama wao sema hatutaki kuliona hilo.

Kama wanayoyapitia kina Mbowe na wenzake wangefanyiwa kina polepole na kina Lusinde nina uhakika wengine wangelikuwa walisha commit suicide siku nyingi tu.
 
Back
Top Bottom