Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,105
- 32,927
Marengemse.Msengerema
Marengemse.Msengerema
Hata kukiwa kuna tume huru na watu wakashinda kihalali lakini wanakuja kushawishiwa kwa pesa kisha wanawasaliti wapiga kura hiyo itasaidia nini?Sisi tunashauri tuwe na Tume Huru ya Uchaguzi tu.
Hao wanaweza kuwa malaya wa siasa kama alivyosema baba wa taifa mwalimu J. K Nyerere mwaka 1967. Inakuwaje mtu uliyeaminiwa na wananchi unafanya upuuzi kama huu?Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kimefutika kabisa kwenye Ramani ya Wilaya ya Serengeti baada ya Mbunge na madiwani takribani saba akiwemo Mwenyekiti wao wa Halmashauri kuhamia CCM.
Hata hivyo licha ya viongozi hao pia kumeripotiwa maeneo mbalimbali wenyeviti wa vijiji kupitia Chadema hapa Serengeti wameendelea kukihama chama chao na kutimkia CCM.
Nawapongeza sana.Mwisho naawabia viongozi wa Tarime mliochaguliwa kupitia Chadema njooni nyumbani kumenoga. Viva Serengeti.
Magufuli hauziki hata kwa jiki jamaa ni irrelevant kisiasa mwenyekiti wa chama mbovu sana kwao chato ameshindwa hata kumaliza uwanja wa ndege hata hospitali ya mkoa imemshinda kwenye taa za barabarani wanapita punda shule watu wanasomea kwenye miti maji hayana mzunguko wa kilometa kumi halafu washamba wananunulika kama maandazi eti tunaunga mkono kwa mtu failure nosense watanzania ni stunt brain periodKijana siasa unazopiga zimepitwa na wakati.
Unachotakiwa ni kuweka sera za chama chako. Hayo unayoyaandika hata mtoto mdogo anaweza kuandika.
Siasa ni kueleza itikadi na sera ya chama chako. Lakini hizi siasa za kuchafua watu, mmejaribu lakini mwisho wa siku mmegeuka ninyi kwa ninyi kuramba matapishi tenu.
Niambie ile issue ya kumchafua Lowassa kuanzia 2008 - 2015 iliishia wapi!?
Siasa unazopiga zimepitwa na wakati. You need to update yourself.
Haya maneno tumeyazoea. Hamna jipya, ni kurudia rudia tu. Subiri 2020. Fyekelea mbali.Magufuli hauziki hata kwa jiki jamaa ni irrelevant kisiasa mwenyekiti wa chama mbovu sana kwao chato ameshindwa hata kumaliza uwanja wa ndege hata hospitali ya mkoa imemshinda kwenye taa za barabarani wanapita punda shule watu wanasomea kwenye miti maji hayana mzunguko wa kilometa kumi halafu washamba wananunulika kama maandazi eti tunaunga mkono kwa mtu failure nosense watanzania ni stunt brain period
Ungesema magufuli aliyeweka Doto james mwipwaye wanafyeka hela za nchi kama njugu mtu anatembea na mamburungutu kutafuta cheap popularity eti lete mapapaiImechelewa sana kufutika,acha Mbowe ale ruzuku na ukoo wake
Unadhani polisi na jeshi watawabeba haha embu tungojee muone mutakavyopotezwa mumechokwa haswa wewe mwenye makalio legezwaHaya maneno tumeyazoea. Hamna jipya, ni kurudia rudia tu. Subiri 2020. Fyekelea mbali.
Wasukuma washamba mikoa mitano lakini ndio maskini wa mwishoKomaa kamandaaaa.........hahahahaha chagadema bwanaaaaa
Hakuna kingine zaidi ya umalaya tu wa kisiasa kwa maneno ya Mwl. Nyerere, baba wa taifa hili. Hawa wanaweza kuuza hata nchi mbele ya hela, kama wanawake malaya wasivyoweza kuona hatari zilizojificha nyuma ya fedha....nataka kuwasaidia makamanda kujua tatizo liko wapi ili wa retain members wake...mpaka sasa sijui tatizo ni nini,kama ni kuunga juhudi za Rais mbona wananchi wanamuunga not necessarily kujiunga na chama chake ndio uunge jitihada zake..this makes me think may be kuna deeper issues ambazo bado hazijawa identified within CHADEMA..ambazo zinakimbiza wanachama wake...
Unaweza kuuitaa utatu, lakini siyo Utatu Mtakatifu! Kuna Holy Trinity moja tu!Poleni sana ccm,
Iliyokufa ni CCM na ambayo imeuwawa na huu utatu mtakatifu(trinity):BM, JK na JPM.
Hizo lugha za kihuni nenda kaongee na Mashinji hapo ufipa, mtaelewana....haswa wewe mwenye makalio legezwa
Ruzuku inalipa madeni hewa ya mbowe wakati huko kwenye msingi (mashina) hali ni taabani, na viongozi wanalazimishwa kukichangia chama.
Wahitaji kupepewa. Kusafisha dhambi kwa dhambi? Ndivyo mlivyozoea? Policcm, NECCM, wote wenu. Ndo maana nchi yetu imegota.Hivi Chadema hamna fedha za kuwahonga viongozi wa CCM? Yaani mmeshindwa kuwahonga hata wenyeviti wa vitongoji wa CCM?
Sasa mbona mwawapenda?Hakuna kingine zaidi ya umalaya tu wa kisiasa kwa maneno ya Mwl. Nyerere, baba wa taifa hili. Hawa wanaweza kuuza hata nchi mbele ya hela, kama wanawake malaya wasivyoweza kuona hatari zilizojificha nyuma ya fedha....
Waongea kama "mgeni' vile halafu eti unataka usaidie inakuja kweli?nataka kuwasaidia makamanda kujua tatizo liko wapi ili wa retain members wake...mpaka sasa sijui tatizo ni nini,kama ni kuunga juhudi za Rais mbona wananchi wanamuunga not necessarily kujiunga na chama chake ndio uunge jitihada zake..this makes me think may be kuna deeper issues ambazo bado hazijawa identified within CHADEMA..ambazo zinakimbiza wanachama wake...
Mkuu, hili nalo swali? Unauliza kwa nini twawapenda malaya? Si kuwatumia tu kuburudika?Sasa mbona mwawapenda?