Hivu Idris akiingia 18 za mpoki atatoka salama?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Huyu kijana idris Sultan amekuwa akisifika kukejeli mastaa kibao hapa bongo, Sasa najiuliza hivi siku huyu idris akiingia 18 za Mujuni almaarufu mpoki kweli atatoka salama Huyu Dogo?

Ikumbukwe pia nae mpoki anasifika kwa kukejeli na kuaibisha mastaa wenzake...
 
Huyu kijana idris Sultan amekuwa akisifika kukejeli mastaa kibao hapa bongo huko Instagram, Sasa najiuliza hivi siku huyu idris akiingia 18 za Mujuni almaarufu mpoki kweli atatoka salama Huyu Dogo?

Ikumbukwe pia nae mpoki anasifika kwa kukejeli na kuaibisha mastaa wenzake...
Ebu kimbia urudi huko
, instagram utuletee alichofanya Sultan Said Seyyed wa oman
 
Aisee mpoki ni shugguli nyingine ile, Nakumbuka katika ugawaji wa tuzo za Kilimanjaro music awards mpoki alikuwa mc aliwachambia wasanii tishu pepa ya chuma mpaka wasanji wengine wakaanza kutoka ukumbini,,,,Idris afanye chochote ila asiingie kwenye anga za bepari la kihaya....ATAPATA TABU SANA
 
Usimfananishe Mpoki na huyo chekechea.
"Hata bata awe mweusi vipi atataga yai jeupe" noumaaaa
 
Back
Top Bottom