Recent content by Mr Richard

  1. M

    Mgomo wa Madaktari (Leo): Kiburi cha Blandina Nyoni

    Ndg, Inawezekana serikali haina pesa. Maamuzi yanayofanyika na watendaji wetu ni ya kushangaza, mfano miezi michache iliyopita posho za wabunge ziliongezwa leo hii unawaambia madaktari hamna pesa ya kuwalipa vijisenti kidogo vya kujikimu, hawawezi kukuelewa.
  2. M

    Naibu Waziri Mwanri aibua Ufisadi wa kutisha Ludewa - Aikataa nyumba iliyofisadiwa

    Kazi nzuri ya MWANRY itapimwa na hatua zitakazochukuliwa dhidi ya wote walioshiriki ufisadi huo. Vinginevyo utaonekana mchezo wa kuigiza.
  3. M

    Naibu Waziri Mwanri aibua Ufisadi wa kutisha Ludewa - Aikataa nyumba iliyofisadiwa

    Ni kazi nzuri anafanya mh Mwanry, kama kweli anaamini anachokisimamia basi wote wanaohusika na matumizi mabaya ya pesa ya umma wachukuliwe hatua za kisheria. Kinyume na hapo anachokifanya yataonekana maigizo mbele ya umma wa WaTZ.
  4. M

    Mzee David Wakati Katutoka Leo

    R.I.P Mzee David. Tutakukumbuka kwa utumishi uliotukuka. Namkumbuka sana hasa ktk mazungumzo baada ya habari.
  5. M

    Nyumba Inapangishwa

    Iko DSM, Segerea. Ina 3 rooms na choo cha ndani. Kama inakufaa ni pm ukionyesha no. yako ya simu.
  6. M

    Serikali inaweweseka kwa ujumbe wa Kikosi cha watu 2,858 cha ukombozi.

    Rasilimali za nchi zinafaidisha watu wachache na nyingi kubebwa na wawekezaji chini ya utawala tulionao. Akina mama wajawazito wanajifungua kwenye hali duni kwenye zahanati zetu, wengine hupoteza maisha, mazingira duni ya kazi ktk sekta za afya, elimu, magereza, usalama wa raia. Matatizo ya waTZ...
  7. M

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Kesi ya ngedele alipelekewa nyani. Utarajie nini?
  8. M

    Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

    Jk Unawezaje kuwafanya watu waamini lolote uongealo kuhusu uchumi wa nchi unayofikiri unatawala wakati ulisha kiri kwamba hujui kwanini ni maskini.
  9. M

    Mkuu wa mkoa wa Arusha afukuzwa soko kuu la Arusha kwa nyanya

    Arusha ni kwa watu jasiri. Msikubali uozo. Naamini huu ni mwanzo. Hawa vibaraka wa mafisadi waendele kuongea na mende na panya halisi maofisini mwao.
  10. M

    Wabunge wanaoboa!

    Wananiboa Wanafiki waungao mkono hoja eti asilimia mia kwa mia. Wakati wana mambo mbalimbali ya kuchangia. Hii inaonyesha ni jinsi gani walivyo kariri hata common sense hawana. Utachangia hoja yale unayodhani yataiboresha kwa manufaa ya Watz. Huwezi kuunga mkono hoja 100% alafu ukawa na jambo...
  11. M

    Taarifa maalum ya maandalizi ya maandamano ya kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Kama upande mmoja wa muungano unataka kujitenga hamna haja ya kung'ang'ania. Hata ndoa, wanandoa mmojawapo akichoka inabidi mwingine akubali yaishe japo ahadi alikuwa mpaka kifo kiwatenganisha. Kwa mantiki hiyo basi hapatakuwepo na kizuizi, Wazenj kuwa na serikali yao kwa amani alikadhalika...
  12. M

    Nimeumizwa sana sitamani kupenda

    Jione kama mwenyezi mungu kakuepushia jinamizi katika maisha. Utapata aliye wako wa maisha.
  13. M

    Nchi imemshinda na Chama chake kimemshinda; aombe wawekezaji?

    Rais kashindwa kuisimamia serikali na watendaji wake. Wanaoweza kudhubutu wamekuwa wakisema serikali inayumba. Maamuzi ya jeshi kuongoza nchi kwa kipindi cha mpito ni muafaka kabisa.
  14. M

    Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

    Huyu OCD ni kielelezo cha watawala wetu walivyolewa madaraka. Ulevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko wa pombe maana mlevi wa pombe zikimtoka anafanyakazi inavyotakiwa, lakini mlevi wa madaraka ulevi haumtoki mpaka apoteze madaraka aliyo nayo. Iwe isiwe utawala wa namna hii una mwisho wake...
  15. M

    MwanaHalisi: Nini Kinaendelea

    Jenga hoja yako vizuri, kwani gazeti hili linasifika kwa habari na makala motomoto juu ya mustakabali wa taifa letu. Bila kuonyesha unafiki huo utaonekana hapa JF hapakufai.
Back
Top Bottom