Wabunge wanaoboa!

Wabunge wanaoboa!

This thread is not worthy to discuss. When you devalue ole sendeka then you are so mean. Try to be fare to Ole sendeka please, he has been very strong on issues with national interest.

Afadhali umesema wewe, huyo jamaa amejaa U-CHADEMA na hajaleta mada hii kwa maslahi ya watanzania bali anataka tu kuwakashfu wabunge wa vyama fulani na kuwasifia wale wa vyama vingine. THIS IS IRON BOY, he is always interested to talk about people and not issues.
 
Ni mara chache sana kwangu kuangalia mijadala ya bunge letu 'tukufu' kupitia tv. Hata zile mara chache ninapoangalia
bunge nikikutana na wabunge hawa lazima nibadilishe channel:
Magreth Abdalah,
Ole Sendeka,
John Shibuda, orodha ni ndefu naomba utaje wabunge wanaoKUBOA

SUGU. ananiboa ile mbaya, yaani usanii, majungu, visasi sana na kujiona kwingi katika michango yake yote.
 
Wananiboa Wanafiki waungao mkono hoja eti asilimia mia kwa mia. Wakati wana mambo mbalimbali ya kuchangia. Hii inaonyesha ni jinsi gani walivyo kariri hata common sense hawana.
Utachangia hoja yale unayodhani yataiboresha kwa manufaa ya Watz. Huwezi kuunga mkono hoja 100% alafu ukawa na jambo la kuchangia.
 
Wananiboa sana wanaounga mkojo aah!!! sorry mkono 100% halafu wanaanza kusema matatizo mengi ya majimboni kwao na kuanza kui critisize hoja yenyewe. Ningekuwa speaker ingekuwa mtu akisema tu anaungana na hoja kwa 100% simruhusu kuchangia maana hiyo hoja haina tatizo lolote na haitakiwi kuongezewa wala kupunguzwa.

Wakiwemo kama Jenister Mhagama, Stellah Manyanya, Livingstone Lusinde, na wenzao wote wanaofikiri kwa kutumia masaburi.
 
kuna mwingine anaitwa mhagama anaongea anajikamu kama mbuzi anataka kuzaa..ananitia kichefuchefu mpaka basi na likitambi lake lini....
 
Jamani mimi anayeniboa zaidi ni Stephen Wassira. Yaani jamaa anatisha.
 
Said Jafo................., hana mchango wakati ni graduate wa juzi tu. Shame on him cos hata akina JMarope waliosoma vyuo uchwara wajenga hoja yeye kazi kubadili tai tu.
 
mie wananiboa wale askari wanao jifanya kiherehere kutoa wenzao mjengoni badala wawaache watoane manundu
 
j3 utamsikia bungeni akiikandia JF kuwa inachochea mambo si unajua tena watu wa taarabu
Tena hilo ni limbumbumbu kweli, na niligundua ukilaza wake tangu alipokuwa mkuu wa mkoa wa manyara, huwa anapenda kutumia maguvu kuliko akili ktk maamuzi. Ona jana alivyokuwa akitokwa povu kwa jazba bila hata kuelewa anachochangia. Alinikera sana kusema kuwa muswada ukishapitishwa na kamati na kuletwa bungeni ndio sheria....kwa hiyo hata wabunge wanapochangia na kukosoa wanapoteza muda bure loooooo...its very shame kwa mtu mzima.

Mwingibe ni Jenista Mhagama, yaani huyu naye ni pumba tupu, analeta vijembe vya taarabu ndani ya bunge kisa kutolewa nishai na binti mdogo aliye makini kuliko yeye. Anajivunia kuwa bungeni kwa muda mefu, its fine but nini cha maana amefanya kwa manufaa ya taifa hili kwa muda wote alokuwa bungeni? Si ni wao hao ndio hupitisha madudu mengi miaka na miaka na kuwaletea maafa na maisha magumu watanzania?? Shame on her.. Sasa ndio nimejua ka nini kwa muda wote huo hata chama chake kimeshindwa kumpa japo unaibu waziri..watanzania bado tunayo safari ndefu sana kwa type ya viongozi tulionao.
 
Ni mara chache sana kwangu kuangalia mijadala ya bunge letu 'tukufu' kupitia tv. Hata zile mara chache ninapoangalia
bunge nikikutana na wabunge hawa lazima nibadilishe channel:
Magreth Abdalah,
Ole Sendeka,
John Shibuda, orodha ni ndefu naomba utaje wabunge wanaoKUBOA

Mbunge wa Mtera, livingistoni lusinde!
 
jamani ole ni jembe lile anayeniboa ni sana adeni lage. mshana nshunju na max(geita)ovyo ovyo hawajui wanachokifanya humo mjengoni
 
Kaften joni koMba teh! teh!tabia za wanafunzi wanaokaaga dawati za mwisho ni sawa na huyu njemba
 
I agree with you, nimesoma na Ole Sendeka Old Moshi High school na ninakwambia huyu bwana alikuwa mtetezi mkubwa sana pale shuleni, akiwa kiranja mkuu alibadilisha mambo mengi sana pale. So he has a good record even now.
This thread is not worthy to discuss. When you devalue ole sendeka then you are so mean. Try to be fare to Ole sendeka please, he has been very strong on issues with national interest.
 
Yaani huyu O.Nundu juzi alinikera sana! anawafokea wabunge vichwa kwamba wametumwa ! (eti nani kawatuma nyie mje mkatae huu muswada?? nani kawatuma....?) mimi nikashangaa hakuna aliyeomba mwongozo wa spika kwani alikuwa amepanick na anafoka bungeni hovyo!!!!!
Ole Sendeka ni Jembe wandugu.Mtoa uzi ame over look. Labda alitaka kumtaja Omari Nundu. Mi nikumuona Maghembe natapika
 
Back
Top Bottom