Serikali inaweweseka kwa ujumbe wa Kikosi cha watu 2,858 cha ukombozi.

hii 258 inaweza ikawa inawakilisha code fulani ivi na isiwe idadi ya watu watakaofanya huo ukombozi. inaweza ikawa inamaanisha tarehe na mahali ptakapofanyikia hilo tukio....it will be great kuona likifanyika....
 
sawa, subiri uone kitakachowapata hao unaowaita serikali.......unadhani Kikosi cha watu 2,858 wanatania?
Wewe ni kielelezo cha typical mdanganyika. Fikra fupifupi na kutokuwajibika kimawazo. Kabla hata ya kujua who is behind that so called '2858' tayari umejump the smoking gun palepale kwa kutolea risasi..mtaishia kufanywa chambo na kutumika kama ndomu na wanasiasa uchwara mpaka mtakapotia akili.
 
ingekuwa ni uzushi wasingehangaika hivyo....tatizo n kuwawako ndan ya safu ya juu ya ulinzi wa rais, hivyo words may speak louder than actions.....
 
Tumeamua kuungana kwa pamoja kutekeleza kwa VITENDO dhana ya kulilinda na kulifia Taifa letu ambalo kwa sasa limekuwa kama pango la mafisadi, wezi na wafujaji wa HAKI za Watanzania.”

Hayo maneno yamenikuna!
Ntashukuru kama mtakuwa serious ktk ilo
 
Wewe ni kielelezo cha typical mdanganyika. Fikra fupifupi na kutokuwajibika kimawazo. Kabla hata ya kujua who is behind that so called '2858' tayari umejump the smoking gun palepale kwa kutolea risasi..mtaishia kufanywa chambo na kutumika kama ndomu na wanasiasa uchwara mpaka mtakapotia akili.
usihangaike sana, siku mia hazijaisha, zikiisha bila kitu ndio uje hapa ukosoe wanaosema litatokea.....
 
Rasilimali za nchi zinafaidisha watu wachache na nyingi kubebwa na wawekezaji chini ya utawala tulionao. Akina mama wajawazito wanajifungua kwenye hali duni kwenye zahanati zetu, wengine hupoteza maisha, mazingira duni ya kazi ktk sekta za afya, elimu, magereza, usalama wa raia. Matatizo ya waTZ ni mengi kwa kutaja machache. Watawala wetu wanahujumu uchumi wa nchi waziwazi wanyonge tukiwakolea macho. Kilichobakia ni mambo kama hayo. WaTZ wenye akili timamu wanajua Nini chanzo cha uvunjifu wa amani Tz.
 
kwa kweli nchi inaendeshwa na mafisadi tupu.si sawa kwani haki zetu kuwa huru hazina maana yoyote.kuna miungu watu wanaochafua hali ya nchi na kukimbilia nje kupumzika,na kuacha maskini wakifa kwa njaa na vita(liberia,somalia,sudan).KAMA WANAWEZA KAZI BASI KIMYA KIMYA BILA MABOM..si kumueleza nkulu kuwa hauna ulinzikuanzi sasa pumzika tu...inatosha kabisa kaka. NA SI KURUSHA RUSHA vibom!
 
Agombanae havui shati, wewe unataka kugombana then unataka kwanza kuvua shati! we ingia ulingoni pigana tu c mpaka uvue shati, hawa jamaa ni mbwembwe tu, kakaa chizi mmoja kaandika tu, jamaa anajampisha tu, wewe unataka kufanya mageuzi then unatoa siri! huo utoto wala msipoteze muda wenu kujadili upuuzi!


My take; hata shamulio la marekani lilianza hivi hivi kwa tetesi, watu waliambiwa wakapuuzia, then world trade centre ikalipuliwa na kinga n bora kuliko tiba, ila idadi ya watu iliyotajwa ni kubwa, kuwapata wote ni ishu! sasa usalama wa taifa fanyeni kazi yenu tuone kabla ya siku hizo 100. ila inaonekana watu wamechoka kama ni kweli lakini.
 
My take; hata shamulio la marekani lilianza hivi hivi kwa tetesi, watu waliambiwa wakapuuzia, then world trade centre ikalipuliwa na kinga n bora kuliko tiba, ila idadi ya watu iliyotajwa ni kubwa, kuwapata wote ni ishu! sasa usalama wa taifa fanyeni kazi yenu tuone kabla ya siku hizo 100. ila inaonekana watu wamechoka kama ni kweli lakini.[/QUOTE]
acha wapuuzie, hata pentagon ilikuwa hivohiv mara Puuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!! mpaka wtc
 
Mashaka yangu ni kwamba kama wangekuwa waoga, wasingetoa ujumbe huo. Vinginevyo wanatania! Huwezi kutoa ujumbe wa hadhari kama huo endapo wewe hujajiandaa kuchukua tahadhali. Mi nadhani ni vitisho vya mtu mmoja!
2858 inawezekana ikawa ni code...inaweza ikamaanisha siku au anything...letswait and see...
 
Mashaka yangu ni kwamba kama wangekuwa waoga, wasingetoa ujumbe huo. Vinginevyo wanatania! Huwezi kutoa ujumbe wa hadhari kama huo endapo wewe hujajiandaa kuchukua tahadhali. Mi nadhani ni vitisho vya mtu mmoja!

mi naunga mkono harakati za hao jamaa, tumechoka kwa kweli
 
kaeni na watu nchi zilizokuwa na vita waulize VITA ni nini.. naona watu mnaombea mambo ambayo yanatakiwa yabezwe ....
 
Serikali itumie nguvu sisi wananchi tulizo wapa kwa mujibu wa katiba kuwashughulikia ipasavyo hawa wahaini. Hakuna excuse kwa kuwacha kila mpuuzi afanye atakalo.

Mkuu kwa hali ya maisha ilivyo watu kuamua kufa kwa risasi badala ya njaa na magonjwa ya kizembe haiepukiki
 
Back
Top Bottom