Je kushawishi kutoa mimba na ushahidi upo hapo inakuwaje ktk mahakama zetuu? Au sio jinai hii? ( Kama katuma sms kwa beki 3 kuwa namekutumia 300K ukatoe hiyo mimba je anaponaaa?)
Nenda ka ripoti kwenye chama cha wafanyakazi wa ndani naskia huko hawana masihara...haki sawa kwa wote...Hata kama una ndoa na ukampa beki 3 mimba utamhudumia mpaka ajifungue, mtoto kama huamini ni wako mnaenda kwa pilato utafunguliwa kesi na mtaenda kwa ile ofisi iliyopo nyuma ya Ocean Road...
My friend too late hapo unamuokoa nn? kama miwaya tayari kashikanyaga!!!! Huyo mume wake nae atakuwa tayari kaunganishwa kwa grid ya taifa.... Ni wajibu wa kila mwenye ndoa kulinda ndoa yake as a MAN. So better keep quet mkuu.
Baadhi ya mabinti na wanawake wengine wanaofika kwenye Ufukwe wa Coco uliopo Oysterbay jijini Dar kwa lengo la kufundishwa kuogelea, wamekuwa wakijikuta wanafanyiwa vitendo vichafu, ikiwemo kubakwa na wanaume wanaojiita Beach Boys, Risasi Mchanganyiko lina mkanda kamili.
INAKUAJE?
Akisimulia...
Kaka kwa vipele hivyo sahau ""DAWA maana mimi nilishakwenda mpaka nje ya nchi but ckupona....ila nilienda arusha kwa Dr Njela ana kitengo kwa ajili ya kuviondoa na anavifaa maalumu vya kuvinyofoa then atakupatia dawa za kupaka aina mbili...kwishaaaaa mie nipo poa sasa.
Hivi vipele huwa sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.