MTALAKA HATONGOZWIIIII..... LIKE USB DEVICE (PLUG N PLY)Una moyo wa pekee tena ukute umemkula kavu kavu bila kupima kiufupi unampenda endeleeni kulana tu
Ni miaka kama 7 imepita toka huyu mdada aniache pasipo sababu ya kueleweka, nilikuta tu mtu kaanza kunichunia..miezi ikapita na hata nilipokuja kuonana naye, aliniambia wazi nitafute mtu mwingine!
Nikajisemea isiwe kesi ila kifupi niliumia sana, kwanza nilimpenda pili nilikuwa mwaminifu sana kwake, baada ya hapo nilijaribu mara kadhaa kujaribu kumrudisha ila ikashindikana!
Sasa muda umepita, kazunguka huko na mtoto kazalishwa sasa anakuja kwangu! Anajaribu kuomba msamaha eti aliyoyafanya kipindi kile alikuwa wrong, mi nimeshindwa nimfanye nini wala sijamjibu chochote japo nimekula mzigo kimya kimya. Kwa kifupi mimi sina pa kumpeleka yeye na mwanae.
NB: Wanawake huwa mnawaza nini kurudi kwa wanaume mliowaumiza mwanzo? Hivi hata kama mtu alikupenda, upendo utabaki vile vile pamoja na kuzurula kote na kuja na mtoto eti mtu akupokee? Akili zenu huwa mnaziweka wapi?
Genye tu hizo ndo maana kamkula, wala hampendi! Ni kawaida sana kwa wanaumeUna moyo wa pekee tena ukute umemkula kavu kavu bila kupima kiufupi unampenda endeleeni kulana tu
Ni kweli mkuu, nimewaza hilo pia !
usikubali kuruhu mapungufu yako,kwanza miaka 7 ni kitu cha kutafakari yani baada ya kuona hakuna a-z ndo kakufikiria wewe for 7 year.huyo hata kuja kukualibia mambo yako kabisa,chapa miguu ucheki unacho fanyaNi miaka kama 7 imepita toka huyu mdada aniache pasipo sababu ya kueleweka, nilikuta tu mtu kaanza kunichunia..miezi ikapita na hata nilipokuja kuonana naye, aliniambia wazi nitafute mtu mwingine!
Nikajisemea isiwe kesi ila kifupi niliumia sana, kwanza nilimpenda pili nilikuwa mwaminifu sana kwake, baada ya hapo nilijaribu mara kadhaa kujaribu kumrudisha ila ikashindikana!
Sasa muda umepita, kazunguka huko na mtoto kazalishwa sasa anakuja kwangu! Anajaribu kuomba msamaha eti aliyoyafanya kipindi kile alikuwa wrong, mi nimeshindwa nimfanye nini wala sijamjibu chochote japo nimekula mzigo kimya kimya. Kwa kifupi mimi sina pa kumpeleka yeye na mwanae.
NB: Wanawake huwa mnawaza nini kurudi kwa wanaume mliowaumiza mwanzo? Hivi hata kama mtu alikupenda, upendo utabaki vile vile pamoja na kuzurula kote na kuja na mtoto eti mtu akupokee? Akili zenu huwa mnaziweka wapi?
Hiyo kula kimya kimya sijailewa. Ina maana umemla bila yeye kujijua? Alikuwa usingizini wakati unamla au? 😱japo nimekula mzigo kimya kimya.
Namaanisha bila makubaliano yeyote...hakuna tuliloliongea kuhusu mahusiano yetu, alitegesha nyapu nikapiga basi hakuna story za ziada!Mwambie akale alikopeleka mboga!
Hiyo kula kimya kimya sijailewa. Ina maana umemla bila yeye kujijua? Alikuwa usingizini wakati unamla au? 😱
Safi...!Namaanisha bila makubaliano yeyote...hakuna tuliloliongea kuhusu mahusiano yetu, alitegesha nyapu nikapiga basi hakuna story za ziada!