kikale
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 455
- 574
Wakuu ni matarajio yangu kuwa ni wazima!..
Nina swali laniumiza sana kichwa huu ya Yale mafuta yaliyomo ktk condom.Swali langu ni juu ya chemical content ya Yale mafuta...Nimeshawahi kuwauliza specialist kadhaa ila hata wao wakasema hawajui km Yale mafuta yametengenezwa kwa chimicals gn?...kwa kuheshimu Uhuru wa hili darasa nami naomba nifumbuliwe hili swali....