Recent content by Mr.mpemba

  1. M

    Hofu ya Zanzibar na hatma ya Tanzania

    wazanzibar tumechoka kwanini tupigane kwa maslahi ya watu binafsi
  2. M

    Mh. Hamad Rashid LIVE on Star TV

    mh. Hamad rashid vp munalumbana kwenye vyombo vya habari lakini hivi jimbo lako unalipitia au ndo uchu wa madaraka
  3. M

    Mwenye macho haambiwi tazama jionee mwenyewe

    Jamani natafuta mchumba mwenye age 20 alokua tayari anitafute kwenye facebook ramadhan juma au email mpemba64@gmail.com
  4. M

    Jamani watalamu naomba msaada

    Jamani mimi naomba nielezwe athari za masta beshen
  5. M

    Watu wa JF acheni wizi jamaaa kaumbuka huyu

    Kulikua na jamaa 1 mwizi wa misalaba makaburini .siku 1 wakati akiwa katika kazi yake alipofika kwenye kaburi akaanza kuung'oa msalaba uliokua juu ya kaburi . Hafla wakasikia mtu akisema: oeeh acha hiyo antena ye2 wenyewe twaangalia mpira. "je mwajua kilichotokea kwa huyu mwizi fikirieni wenyewe.
  6. M

    Kihoja

    Hivi mke wa raisi tunamwita fast lady je akiwa raisi mwanamke mumewe ataitwa nani? Nisaidieni nimekwama
  7. M

    Wana wa jf :pombe noma

    Chapombe alikua anasafiri kwenye treni siku ya tatu bila ya kuonja akamuona mtu mbele yupo na chupa ya biere akakiepeleka mdomoni na kui2a chini kwa kua jamaa alikua na usongo na bia akamlia temingi yule mwenye bia alipozubaa jamaa akatambaa nayo chini kwa chini akachukua chupa ya bia na na...
  8. M

    Cheka kidogo usije ukakojoa

    Mume na mke wameingia hotel ya bei ghali. Mume: Wife unakula nini? Mke: Baby utakachokula na mie hichoX2. Mume: Mhudumuu! Mhudumu: Naam mkubwa, unaorder ki2 gani? Mume: Chips na kuku sahani 2 bei gani? Mhudumu: 65,000/= Mume: Inakuwa na kachumbari? Mhudumu: Ndio mkubwa. Mume: Kachumbari...
  9. M

    Soma mapema usije ukawa kama muazima janvi

    Nahitaji demu mwenye umri usiozidi miaka ishirini atokua tayari anirushie email yake
  10. M

    Wana jf look at me

    MPEMBA ANATONGOZA DEM:-ntoto weyee wallahi wanimaliza unrefu kama nkarafuu, mashallah wang'ara kama embe boribo, nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo(.....)
  11. M

    I'm new in jf

    Poa nashkuru ,unaitwaje?
  12. M

    Najuta kutotembea na mke wa rafiki yangu

    Usije kufanya utazidi kuharibu mshkaji wangu
  13. M

    I'm new in jf

    Hodiiii naomba kukaribiswa
  14. M

    Hebu ona hii hapaaa!

    Big up mr
  15. M

    Wanaijeria wamefikia hapa,sisi je?

    Hivi bandarini kumetokea nini?
Back
Top Bottom