Recent content by Mr Lukwaro

  1. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Si vyema kuviita "vyama vya upinzani" au "chama tawala"

    Ni wazi kuwa jina "Chama Tawala" dhidi ya "Vyama vya Upinzani" , Haileti usawa katika siasa za Tanzania. Sababu ya Hoja hii ni kwamba; Majina haya huashiria maana zilizo jificha. Kwa mfano, Endapo mtu akasikia chama fulani ni "chama cha Upinzani" Hufanya chama hicho kupoteza  Ushawishi katika...
  2. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtu akikamatwa Ijumaa anapata dhamana Jumatatu? Hii imekaaje wasomi?

    Hivi dhamana si haki ya kikatiba? Why Police officer on duty denied to bail person presumed innocent ? Hii imekaaje, Wasomi reasoning ya kwamba ni weekend ina mashiko kweli?
  3. Mr Lukwaro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KWANI HAPPY BOYFRIEND DAY NI LINI?

    No
  4. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa masuala ya kisheria ni mdogo sana Tanzania

    Ni wazo Zuri....
  5. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Meta yatangaza Mabadiliko ya Sera kwenye Mtandao wa WhatsApp kwa Mawasiliano Binafsi pamoja na Makundi Sogozi kuanzia Machi 22, 2024

    Habari ya Muda Huu, Ndugu yangu naomba uniazime Macho na Muda wako kwaajili ya hili ninaloliandika Kuhusu Usalama Mitandaoni.. Mabadiliko ya Sheria Mpya za Mawasiliano kwenye WhatsApp na Simu za WhatsApp Audio na Video. Ambazo Zinatarajia kuanza Kesho Ijumaa. Zifuatazo ni Sheria Zenyewe 1...
  6. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kugundua kuwa mtu ame-screenshot charts zako WhatsApp

    Dishonest is Forbidden 🚫
  7. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kugundua kuwa mtu ame-screenshot charts zako WhatsApp

    Ushawahi kuhofia mtu kuchukua secreeshot za chats zenu mlizokuwa mnaongea kwa siri? Tuseme, unachat na mtu Snapchat au Whatsapp then mtu aka-screen shot Maongezi yenu na kumtumia Mwingine? Hii imekuwa shida sana kipindi hichi! Ili kutatua hilo Android.. wamewezesha.... 1. Downlod App ya...
  8. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Mkushi Mbishi, Hatatukikwambia utabisha tu. Kwamfano nakwambia : Nenda kawashitaki Polisi Jeshini.... kwa Afande CDF
  9. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Hatima ya Pacome, Aucho na Yao kuelekea mechi ya Mamelodi Sundowns

    Taarifa Rasmi kuhusu Khalid Aucho ni kwamba kuanzia kesho ataanza mazoezi mepesi. Taarifa hii inaashiria kuwa Mchezaji huyo , Kiungo wa kati wa Dar Young Africans (YANGA) , Atakuwa sehemu ya Kikosi cha Yanga kwenye Mechi yao Ya Robo fainali Club bingwa Africa. Aidhaa......... PACÖME NA YAO...
  10. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

    Bongo mameno mengi sana.
  11. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

    Hao magaidi wana vifaa vya kisasa vya kijeshi. Training na mbinu za kisasa za vita, Laikini pia hao Magaidi wanapambana kwa Structure za kijeshi kabisa
  12. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

    Ulishawahi liona Ghala la Silaha la Jeshi la Tanzania? Unakutana na Silaha za Mazoezi unasema ndo Silaha za Vita.
  13. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Tuma na Cv's tuone na kazi ulizowahi kufanya...
  14. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

    hizi Statistic umetoa wapi?
  15. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

    Kwasababu Tanzania haijawahi pigana Vita kwa miaka 30 ya karibu. SO, haijawahi kutumia hata Brigedi moja effectively. Usijichanganye Kwenye Jeshi la Tz
Back
Top Bottom