Recent content by Mr.laravel

  1. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi mwenye tuhuma anaweza kufukuzwa kabla ya tuhuma kuthibitishwa?

    Alisimamishwa kazi kwa maandishi au mdomo ? Kesi iko polisi, je imeshafikishwa mahakamani ? Kama kesi iko mahakamani ofisi yake haiwezi kufanya maamuzi yoyote mpaka pale mahakama itakapotoa hukumu.
  2. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hi agiza kutoka nje maana ukichukua iliyotumika hapa tanzania unaweza kupata changamoto/shida muda si mrefu baada ya kufunga.
  3. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante Mkuu, nilibadili oil seal ila nimegundua bado oil inapungua na kipindi hiki sio tena oil ya engine ni oil ya gear box. Msaada tafadhali nini inaweza kuwa sababu ya oil ya gear box kuvuja ?
  4. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari wakuu, Nina gari aina ya IST, nilifanya service mwezi mmoja uliopita yaani nilibadili oil. Lakini baada ya muda mfupi oil ilipungua sana. Baada ya ukaguzi nimwngundua gari inavujisha oil. Msaada tafadhali ni kwa namna gani naweza kutatua tatizo hilo ?
  5. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kikao cha nidhamu kwa mwajiri kisheria

    Katika fomu ya kikao cha nidhamu kuna kipengele cha maamuzi na mapendekezo ya kamati ni lazima kijazwe na kukamilisha fomu hiyo. Napata ukakasi unaposema kamati haijatoa mapendekezo na maamuzi ya kikao hicho.
  6. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kikao cha nidhamu kwa mwajiri kisheria

    Habari, Madhumuni ya kikao cha nidhamu ni kusikiliza mashtaka aliyoshitakiwa mfanyakazi na mwajiri wake. Baada ya kikao hicho kusikiliza shauri hilo, hutoa mapendekezo yake kwa kuzingatia mambo mbalimbali mama uthibitisho/Vithibitisho, maelezo ya mshitakiwa, historia ya kinidhamu ya mshitakiwa...
  7. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania HR's na Lawyers hii imekaaje?

    Habari Mkuu, Haina madhara yoyote. Kwa ofisi nyingine wanakuwa na kitabu cha makosa ambayo ukifanya inarekodiwa na pamoja na hatua zilizochukuliwa.
  8. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Chukua hiyo..
  9. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Challenge Accepted..
  10. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kati ya hzi masters course;

    Chukua kozi ya kwanza itakufaa zaidi
  11. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Music system bei zake zinaendaje ?
  12. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

    Ulipotea sana Mkuu
  13. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania Msaada: Office Hand Over Template

    Habari Mkuu , ingia google utapata sample baada ya hapo iweke kulingana na vitu ulivyokabidhiwa na ofisi yako.
  14. Mr.laravel

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Wengi waliosoma kozi hiyo nawaona wanafanya kozi za muda mfupi za osha na kuwa health and safety consultant /health and safety officers kumbuka ili uweze kujiajiri unatakiwa uwe na uzoefu au uwezo kwenye nyanja fulani.unaweza kuanza kwa kuajiriwa huku ukijifunza mambo mbalimbali na baadae...
  15. Mr.laravel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wakati nafsi yangu inatamani kula nyuma ya wife lakini najizuia

    Hizi thread nyingine...
Back
Top Bottom