Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,496
- 3,233
Kuna mfanyakazi wa kampuni fulani aliwekwa kikao lengo ni kumpa Verbal Warning kwa misconducts alizo fanya.
Kwa maelezo yaliyo toka kwa HR ni kwamba Ili kuweka mambo sawa kwa upande wa HR aliandaa document ya kuonyesha kuwa kikao kilifanyika lengo likiwa ni kumuonya mtuhumiwa kwa Verbal Warning ili ikitokea baadae muhusika atakana basi kuwe na proof kwamba kikao kilifanyika na shahidi pamoja na ushahidi wa maandishi upo.
Kwa mana iyo document yenyewe inaonyesha all about how verbal warning process went on. ni kitu kama memo iv
na kuna sehemu ya HR kusaini kuna sehemu ya shaidi na Muhusika anae pewa verbal warning kusaini kama kweli alikuepo na kukubaliana na yaliyo zungumzwa.
NOTE: (IFAHAMIKE HII SIO WRITTEN WARNJNG DOCUMENT)
Swali: Je hii ni Sawa? na hii process ina negative implication yoyote kiutendaji? kisheria ina tatizo lolote maybe?