Naombeni msaada kati ya hzi masters course;

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,043
Wakuu habari zenu,
Kwa wale wataalam wa mambo naomba msada wenu hivi kati ya hizi postgraduate course ipi nzuri ya kusoma naplan nianze mastars next year.

1. Msc in Finance & big data analytics
2. Msc in Financial modeling & optimization

Naombeni msaada na ushauri hapo nisome ipi?
 
Wakuu habari zenu,
Kwa wale wataalam wa mambo naomba msada wenu hivi kati ya hizi postgraduate course ipi nzuri ya kusoma naplan nianze mastarz next year.

1. Msc in Finance & big data analytics
2.Msc in Financial modeling & optimization

Naombeni msaada na ushaur hapo nisome ipi?
Nisaidie nikitaka kuapply masters nafata process zipi.
 
Ndo maana nchi yetu haendelei; anamaliza form 4 anaomba ushauri cha kusoma mbeleni adi anaetaka kusoma masters nae anaomba ushauri. kusoma masters siyo lazima; unaweza kuchukua ata masters ya kuchekesha kama unaona ipo kwenye plan yako ya mbeleni.
Tupunguze kushusha usomi wetu; badala ya kutulea uchambuzi wa faida na hasara kwa kila kozi.
 
Back
Top Bottom