Camp Lehigh
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 335
- 612
Sometimes Love emotions arise anywhere, And ain't guilty to say how you feel about someone whom you love.
Sio mchangiaji sana humu ila ni msomaji mzuri wa mada mbali mbali..
Nimejikuta navutiwa na mdada mmoja anaitwa SweetieLee
Ukiangalia uandishi wake (hua anaandika Lugha safi iliyonyooka either Eng or Swal) Utagundua ni msichana mmoja Smart, Self Determinant, Funny, Very straight Person, Adorable, Friendly kinda, Slef made girl, Care and Kindly Hearted to others..
Ni mengi mno nimeyaona kwa huyu mdada baada ya kufanya assessment kwa kutumia Post zake. Nachelea kusema nimempenda huyu mdada nasubiri Go ahead yake tu nimfuate Pm kama hatojali.
Nimekupenda bure we mdada ujiitae SweetieLee njoo uokoe jahazi lililobeba moyo wangu wenye upendo kwako, maana moyo wangu waona wewe ndio nahodha pekee unayeweza kufikisha jahazi hili pwani. Nakupenda sana