Recent content by mr egrose

  1. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Shida ya jicho la kushoto kutetemeka

    Dah kaka nakushukuru sana sana sana nahisi kwenye simu hapo tatizo ndo linapoanzia maana tangia nibadirishe simu ndo kesi imeanza maana hii simu nahis Ina mionzi mikali sana kuliko Ile ya awali sikuwahi kupata case kama hii nitazingatia sana ushauri wako
  2. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Shida ya jicho la kushoto kutetemeka

    Habari zenu wanajamii hasa kwenye hili jukwaa la afya.mimi Nina tatizo la jicho langu la kushoto mboni ya juu kutetemeka sana na inatokea mara kadhaa ndani ya dk 5. nikiongea hivyo naamini wengi washakutana na hii Hali walau mara kadhaa na wengi Huwa wanasema kutetemeka Kwa jicho la kulia Kuna...
  3. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nina bachelor degree ya Project Planning and Management na diploma ya Community Development

    wakuu habari za majukumu naitwa yohana naomba kutumia forum hii kutafuta kazi y Mambo ya yanayohusu miradi nina degree ya project planning and management pia nina diploma ya community development. Naombeni msaada wenu pls. Naweza kukupatia any information about me when needed. thank you...
  4. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Mahakamani: Msaidizi wa Sabaya amkaanga ile mbaya, adai ni mtu hatari sana

    Sabaya amesoma na broo wangu mimi huyo jmaa hyo ndiyo style yake ya maisha broo anadai jamaa alikuwa ni untouchable yaan alikuwa na clue yake hyo kila anachotaka atapata tu so dah sijui itakuwaje
  5. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    14 Mar 2015 Bunge Lamkingia Kifua Zitto Kabwe......Lasema Bado ni Mbunge Halali na Spika wa Bunge ana Mamlaka Kisheria Ya Kutengua Maamuzi ya CHADEMA Ofisi ya Bunge imesema haijapata barua yoyote kuhusu kuvuliwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema). Kauli ya hiyo ya...
  6. mr egrose

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Wagombea wa CCM kutoenguliwa ni suala la kutii Sheria

    Fala wewe eti form four ndo nimejua akili yako matupu huna unalojua zaidi ya chuki tu yaan wewe hata kama umesoma ni umeikomboa elimu syo wewe kukombolewa na elimu mfu kabsaa
  7. mr egrose

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Wagombea wa CCM kutoenguliwa ni suala la kutii Sheria

    Mzee kwa kuwa hawasemi tu kile unachokitaka basi ni wapumbavu dah hizi ni dharau kubwa sana kwa hyo wasomi wote wako chadema tuu kwa kuwa hao ndiyo wanasena unachokita wewe.hii ni judgement ya kimasikini sana na ya mtu asiyesoma.maana hao unaosema hwana njaa pamoja na kupata ruzuku lakin...
  8. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Njombe: Viongozi wa CHADEMA pamoja na dalali wa mbao wakamatwa kwa kuhusishwa na mauaji ya Kada wa CCM Emmanuel Mlelwa

    Au labda alitaka wakute kichwa eti mzee hats wakikuta kishikizo cha shati tu wanakubeba ohooo
  9. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Zambia yafungua mpaka na Tanzania

    Ni sahihi kabisa kuji isolate kwa nchi maskini kama hizi ni kujitafutia matatzo sasa leo nilikuwa nasikiliza bbc kenya wana shida ya vitunguu hatar na wanasema kabsaa vitunguu vya tanzania ni best na bei poa kuliko vya kwako vya kwao ni vibovu lakini pia bei ghali kwa hyo mambo syo mambo huko
  10. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Adante sana mkuu wewe kweli syo mchoyo hasa hapo kwenye viatu nimekuelewa
  11. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

    Mh lakini kuwazimia OS unadhani china wanashindwa kubuni ya kwao mimi siamini hilo
  12. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

    mh phonology babu miezi mitatu topic moja!!
  13. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    aka!! mi mgeni mtaa huo!!!
  14. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Namsikitikia, He was my boyfriend

    dah pole sana kwani maandiko yaliposema ukiua kwa upanaga nawe utauawa kwa upanga unadhani ni uongo.sasa aibu yako ama yake?imekula kwake.
Back
Top Bottom