Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

Sikuipenda heat/cooling effect unapuliza huku unakoroga mpaka unaona kihindi hindi!!!!!!!

Meterbridge inasumbua kumbe limeliwa na kutu halafu techniciana anakuambia simpo tu chukua nyingine wakati time imekwenda!!!!!!!!!!

Wapi Nzoih na Docebit vos Omnia
I THINK YOU ARE PUGU BOY
 
operational amplifiers( OPAMP) ndani ya electronics
 
mmmnnnnnnh wana art wenzangu mpo mbona kimia? msione haya ngoja mimi nianze sasa Zwangendaba au Mwanamtapata kingdom eti eh?
 
Duu! Long sana. Kulikuwa na "matango" ya mechanics toka University Physics (UP). Hiyo makitu ilikuwa ni balaa! ndo tulikuwa tunaonyeshana utabe....:smile-big::israel:
 
Ndio upumbafuuu wa physics na maths, unasoma matango msitu kibao, afu ukija uraiani yote ni kama mabua na maboya, yaani useless....

Chem+bios ndio mambo yenye mantiki, very applicable....

Duuuhh!!! Mkuu punguza hasira!!! Au ilikushika nini!! Kamwe sijajuta kusoma maths!!!
 
Back
Top Bottom