Recent content by Mr Chartbox

  1. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Gari linauzwa kwa bei nzuri aina Toyota carry

    Write your reply...Toyota au Suzuki ? au housing cio yake mkulu ??????!!!!
  2. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Changa la macho Magufuli kagoma kulipa mifuko ya jamii Tril 4, mafao shakani na mifuko kufa japo wameunganisha

    Mbona magazeti yaliandika serikali imelipa hayo madeni kabla hata ya hiz kelele za kikokitoo ? tatzo sasa hv kila mtu mwenye kimeo chenye operamini ni mwandishi wa habari. UPOTOSHAJI NI MKUBWA SIKU HZ KWASABABU YA KILA MTU NI MWANAHABARI .
  3. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    sasa akihamishwa nayeye ? au chuo ni mali yke nn !!!!
  4. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Huyo Prof katoa kali sana, watu wa aina hiz huwa wanasali ktk nyumba za ibada za matapeli , wanajazwa uongo mwingi na pengne hata dini fulani akikusogelea anakuambukiza mapepo , au ukigusananaye anakuachia majanga , nasema hiv kunadada cjui anasali kanisa gn alimng'ata mfanyakazi mwenzie...
  5. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Harakati za fao la kujitoa

    Fao la kujitoa ni nini ? Rais aliposema mtu anafanya kaz miaka 3,4 unamwambia asubiri miaka 60 ili nini ali maanisha nn ? mafao yanatoka kama tu umemaliza mkataba , lkn cio kama umeacha kazi (resigned) ...... iko hivyo mijadala hii mingine ni upotoshaji . pesa yako kachukuwe kama umepata...
  6. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Kwa walio wahi kumfahamu mwanaume huyu tusaidieni tafadhali.

    Write your reply...Mr Kawawa au Mr Moringe ? sikumbuki vzur lkn picha cio ngeni
  7. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Kwa walio wahi kumfahamu mwanaume huyu tusaidieni tafadhali.

    huyo alikuwa kiongozi ktk serikali yetu mwanzo mwanzo wakati serikali inachechemea na kutafuta kuanza kusimama.
  8. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Toa sababu kwa nini unaenda kununua Dada poa / malaya

    safe n secured alafu huyo pimbi anayesema hajawah kutoa pesa ili amege anataka kusema aliwah kumega wapi na isimcost ? hata hiyo asante, cjui sabuni, sijui nauli , cjui matumizi uliyotoa unadhani bila makubaliano ya mamegano ungetoa ? acha uzushi usipotoshe umma watu wapo hapa kujifunza cio...
  9. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Huko Dubai sasa Wanaume wanaishi kwa Amani kabisa. Hi Fatwa ije na kwetu TZ

    Mr Brighton , hawa wavaa madera ni waislamu na mapadri wako ambao wanakuongoza wewe kanisani , kanzu ambayo wwe unaiita dera ni vazi takatifu , hata yule msela aliyeigiza Yesu kwa kufanya matendo ya Yesu alivaa DERA kuonyesha kuwa Yesu alivaa dera ktk uhai wake . na walifunika nywele zao siku...
  10. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Wanaokuwa na Mahusiano kwa miaka mitatu na kuendelea kabla ya Kuoana, Ndoa zao huwa na Mafanikio na hawaachani hadi Kifo

    mm nina tecno J5 , nakoment hapa hapa ? plse nijuzeni
  11. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi ku date mademu mabonge tukutane hapa

    Kweli VIBAMIA vinakomaakuta sababu ya kuzugia , haya mambo mbona zamani hatujasikia ? au vibonge wapo zama hiz za mapungufu ya vungu za meuki ? acheni bana , mm binafsi sina reason nikiwa sina mzuka sina na nikiwa na mzuka hata uwe kama nyumba nitakupa huduma ninavyoweza lkn ninajitahid sana...
  12. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi ku date mademu mabonge tukutane hapa

    sio poa , unatukana dada zako , mama zako . cjaipenda kama huna issue kaushaga tu
  13. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Mambo 3 Yanayopelekea wanaume wengi kupata UKIMWI kirahisi: Salaam zangu mwisho wa Mwaka

    ushauri mzuri , lkn hakuna asiyefaham ..... self control tu.
  14. Mr Chartbox

    JamiiForums Tanzania Ilichokisema NSSF kuhusu mafao ya walioachishwa kazi

    huyo anaropoka tu , hiyo nayo itaondoka na mtu , suburini tu muda utaongea . watu wakishazoea maisha ya pasu to pasu ndio huwa wanajitahd tu kupatikane sababu ya rushwa
Back
Top Bottom