Kesi ya CAG Mahakama kuu inaendeleaje, usituache njiani shangazii
Aa thubutuuu hakuna rais muongo duniani kama jiwe
Ccm walichojali ni kuokoa chama kwanza.Hata nchi ikifaHili jitu lishamba sana, Yani linajali vitu kuliko watu...hivi tulilitoa wapi hili jitu???
Unabisha nini wewe, mpaka sasa hakuna pensheni za wastaafu. Mwezi huu hakuna malipo, pesa haipo, labda azinduke baada ya presha kutoka kwa wadau! Lakini ni kuwa hakuna hela za kulipa monthly pensheni!Tatizo wanasiasa wetu hawajielewi. Wananchi na sisi hatujielewi. Wanaotudanganya wanajua wanatudanganya tena kwa maksudi. Tunaodanganywa tunajua tunadanganywa tena kwa maksudi! Lakini hakuna mwenye uthubutu wa kumuwajibisha mwenzake.
Sioni mwanga huko tuendako! Itafika kipindi, wanasiasa wataanza kupambana na kuthibiti Ukweli. Kwa sababu haya yote yanayofanyika, watataka kutuaminisha kwamba hayafanyiki. Lakini si rahisi kuushinda Ukweli. Ipo siku utadhihirika.
As we move forward, truth is serious endangered in our country.
Wengi watakufa kabla ya kuxipataIko kazi. Mimi nimefuatilia sana mafao ya mdogo wangu ambaye ameishakuwa kipofu na nategemea tu hela za mafao lakini licha ya kwenda ofisi ya LAPF safari kumi napigwa dana dana tu. Hela ni zake na zinasomeka kwenye system kiasi anachodai lakini mpaka leo hakuna kilichotekelezwa. Serikali tafadhali walipeni Wastaafu mafao yao. Mungu anawaona na adhabu ni hapa hapa duniani.
Fake news..mwenyewe kasema wameshalipa.
Unabisha nini wewe, mpaka sasa hakuna pensheni za wastaafu. Mwezi huu hakuna malipo, pesa haipo, labda azinduke baada ya presha kutoka kwa wadau! Lakini ni kuwa hakuna hela za kulipa monthly pensheni!
sijakuelewaBaba kujua kila kitu ujuaji huo angeupeleka kwenye uchumi tungekuwa dona kantri,hakuna ujuaji Zaid ya kupambana na watu kuliko kupambana na maendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fatma alishawahi kuandika au kuongea kitu gani chenye mantiki!?
Muulize mkeo atakuelezea vyema kamanda.Hivi Dr Love si ndio a.k.a Pimbi?!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumekucha. @bunge_tz kwenye ripoti ya CAG kasema Serikali inakataa kuzilipa Social Security Funds TRILIONI 4 na katoa ONYO zitashindwa kufidia wafanyakazi na zita filisika. Bunge linalosimamia haki zetu sijasikia azimio lenu wala mjadala kwa hili. Akisema huu ni udhaifu kakosea?
View attachment 1005860
Mbona magazeti yaliandika serikali imelipa hayo madeni kabla hata ya hiz kelele za kikokitoo ?
tatzo sasa hv kila mtu mwenye kimeo chenye operamini ni mwandishi wa habari.
UPOTOSHAJI NI MKUBWA SIKU HZ KWASABABU YA KILA MTU NI MWANAHABARI .
Jamaa I acheni visingizio vya kijinga serikali wa kati wanajuwa akina dau na Mandi ccm na serikali yake walikuwa hawaoniMsema kweli ni mpenzi wa Mungu..... Yaani serikali ilipe hela walizokula akina Dau na mwenzie Manji?!
Magufuli ni muongo sana wala hamuogopi Mungu anatishaAliwadanganya wana ccm majuzi kuwa kalipa limebaki deni 200bn
Inawezekana kilicholipwa ni malimbikizo ya michango ya Wafanyakazi wa Serikali. Hapa inazungumziwa fedha serikali ilizokopa ili kutekeleza miradi ya maendeleo kama ujenzi wa Udom nkMbona magazeti yaliandika serikali imelipa hayo madeni kabla hata ya hiz kelele za kikokitoo ?
tatzo sasa hv kila mtu mwenye kimeo chenye operamini ni mwandishi wa habari.
UPOTOSHAJI NI MKUBWA SIKU HZ KWASABABU YA KILA MTU NI MWANAHABARI .
Kama alikula DAU na Manji iweje liwe deni la serikali.Nawaza tuMsema kweli ni mpenzi wa Mungu..... Yaani serikali ilipe hela walizokula akina Dau na mwenzie Manji?!