T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,102
- 4,516
Ni kweli uwepo wa dini hustawisha amani lakini sio dini yenuKuwepo na msikit au kanisa haimaanish ni alama ya kuhamasisha udini..nimesoma Udsm..kuna msikit mkubwa tu MSAUD pia na kanisa lipo...uwepo wa Maeneo ya kuabudu kunastawisha amani na kutuliza mihemko na akili..
Sent using Jamii Forums mobile app