Wanaokuwa na Mahusiano kwa miaka mitatu na kuendelea kabla ya Kuoana, Ndoa zao huwa na Mafanikio na hawaachani hadi Kifo

Watafiti wameweka wazi kwamba wale Watu ( Wapenzi ) ambao huwa na Mahusiano kwa Miaka Mitatu na Kuendelea kabla ya Kufunga Ndoa wakija Kuishi pamoja Ndoa zao huwa na Mafanikio na hawaachani hadi Kifo kiwatenganishe.

Wewe umeonana na Demu jana tu ( January ) mwezi ujao ( February ) unachumbia na mwezi March unafunga Ndoa kwanini isivunjike au mkafumaniana au hata mkaishia Kuchinjana tu hadi kutoana na ' Makolomero ' yenu na Kumkosea Mwenyezi Mungu?

Chanzo Taarifa: Mtandao wa TibaFasta.

Nawasilisha.

SAMAHANI KIDOGO,

SISI WANAUME WA DODOMA TUNAOLIALIA NA KUGALAGALA KABISA WAKATI WA KUWAVISHA PETE WANAWAKE TUNARUHUSIWA KUKOMENTI CHOCHOTE HAPA??



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni tabia ya Wazungu kukaa bila ndoa wala haihusiani na mapenzi bali ni uoga wa maisha akioa kama ana nyumba ama mali siku wakiachana ni nusu bin nusu.

Sasa na nyie mnaiga wewe unakaa sehemu tofauti na hawara yako kwa miaka kibao halafu unatangaza uchumba na tunavyowajua analiwa na mwingine kwa vocha ya buku na wewe umekazana my future wife.

Na kama unaishi nae hata wazazi hawajui na wewe wazazi wake huwajui mpaka unapoamua kwenda kuchumbia baada ya miaka mingi.

Kwa kweli hayo tuwaachie wazungu maana wanajua kukaa kama pertners tu kuepuka kunyang'anywa mali

Sent from my SM using Tapatalk
 
Sisi ambao ndo kwanza tumeanza january hii tunacomment wapi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom