kuna nini ktk siasa za bongo?
prof safari alivyotangaza nia ya kugombea uenyekiti tunajua yalomkuta'
zitto alivyotangaza kugombea uraisi tunakumbuka pia sakata lake mpaka sasa chamani
kafulila pia mwelekeo ni kama huo,
hamadi rashidi ukatibu imekuwa nongwa,
ccm wajisemee wenyewe,
na wengine...