Maraisi wote wa EAC walituma wawakilishi tu kwenye miaka 50 ya uhuru ambayo JK aliikuza sana kulikoni stahili yake.................kwa khali ya umasikini tulionao swali la msingi hizo hela za sherehe zingeliweza kupunguza makali ya uhafifu wa huduma nyingi kwenye jamii yetu....................................
kwa mtanzania wa kawaida anayeishi kwa mlo mmoja kwa kutwa...................................alishindwa kuelewa hivi hawa wanapongezana kwa kunifukarisha au kwa wao kunufaika na uhuru tajwa pekee yao............................mahudhurio ya sherehe tajwa mikoani ni kipimo kuwa raia hatuoni manufaa ya uhuru kwetu........................Dar mahudhurio yalishamiri kwa sababu wengi wao ni wazururaji na hawana shughuli ya kufanya...........................na baadhi yao walitarajia hata kupata peremende lakini baada ya hafla kuisha wakubwa walitokomea Ikulu pekee yao kwenda kupongezana na kuwaacha wenye viherehere (kama Jk ambavyo amekuwa akitukandia)........................wakizubaa kutafuta usafiri wa kurudi makwao.................huku wengi wao wakikanyaga kwa mguu.............................
pengine kubwa kuliko yote ni nini nafasi ya miaka 50 ya uhuru katika muungano wa EAC....................ikumbukwe mwaka 1961 Nyerere alidiriki kudai ya kuwa alikuwa yuko tayari kuchelewesha uhuru wa Tanganyika kama itasaidia kuunda shirikisho la EAC.............
warithi wa Nyerere ambao hata yeye mwenyewe alikuwa gwiji wa kuwavika vilemba vya ukoka...................pale aliposema ya kuwa kiongozi aweza kutoka popote pale bali kiongozi wa kutumainiwa atatoka ndani ya ccm............................ninafikiri huko aliko atakuwa amepigwa butwaa..............................kumwona JK vile anavyoidhoofisha EAC...........
ilipokuja shirikisho la kisiasa JK alidai wananchi wauulizwe.........................yeye kama kawaida yake aliunda tume ya kukusanya maoni ambayo matunda yake hakuna anayeyafahamu...........................inapokuja muungano feki wa tanganyika na zenji............................huko hataki kusikia wananchi wanashirikishwa katika kutoa maoni yao kama hata wanauhitaji muungano wenyewe...................................hudai suala la muungano halijadiliwi........................lakini lile la EAC lazima lijadiliwe........................double standards? you can say that again.................
viongozi wote ndani ya EAC wanajua JK is not part of the solution...............................but he is a problem................................na ndiyo maana hata kwenye miaka 50 ya uhuru wamemkwepa kwa kumtumia wasaidizi wao tu.............................kwa matumaini ya kuwa after JK...................................some sensible tanzanian will take over the reins of power...........................na kuufanya uhuru wetu kuwa na maana hata kwao wa Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi..........................kwa mazingira ya sasa JK ni "Dr. NO" katika masuala ya shirikisho la EAC..............................................ikija masuala ya ardhi JK anatetea mipaka iliyowekwa na mkoloni...........................bila ya kujua hiyo mipaka iliwekwa ili kutudhoofisha..................lakini yeye kwa sababu ya uroho wa madaraka anaona aitetee kulinda kitumbua chake ambacho kitafikia ukomo wake hivi karibuni.............by grace of the living GOD..........
Ndg Rutashubanyuma
Kwa mtazamo wako sina shaka na uraia wako. Sababu za Rwanda, Burundi, Uganda na Kenya kususa kuja kutupa HONGERA Watanzania na Miaka 50 ya uhuru wetu ni hizi zifuatazo:-
1) Tanzania ni nchi ya amani sana, ukilinganisha na nchi yoyote katika EAC
-Kuna raha gani, Mkenya kukupa hongera wakati ni juzi walikuwa wanakatana mapanga?
-Kuna furaha gani Mnyarwanda kukupa pongezi, ukiachana na maafa ya 1994, hata hivi sasa watu wasiyo na hatia wanaendelea kupotea katika mazingira yasiyojulikana nchinin Rwanda?
-Mganda akupe hongera kwa lipi wakati 1978/79 tulipiga kuanzia Kyaka hadi Arua?
-Mrundi akupongeze nini Mtanzania wakati hadi hivi sasa Bujumbura, Bukavu n.k hakuna amani?
2) Baadhi wa Wanajumuiya ya Afrika Mashariki bado wanaamini kwamba kupitia Jumuiya hiyo watafaidi raslimali za Watanzania, ikiwemo Ardhi. Kwa bahati nzuri, pamoja na mapungufu ya Rais J.K, kiapo cha kuilinda Tanzania na mipaka yake anakinzingatia tena kwa sana! Rais J.K hakumteua Mhe Sitta kwa makosa. Alijua ni mtu makini kama walivyo watanzania wengine makini sana kama akina Mhe. Magufuri, Mhe. Lowassa, Mhe. Mwakyembe, Mhe. Zitto, Mhe. January, Mhe. Mrema, Dr. Slaa, Prof. Lipumba na wengine wengi ambao hatujapata nafasi za kujulikana.
3) Ok, Marais wa Rwanda, Burundi, Uganda na Kenya hawakuja kwenye sherehe za Uhuru, kwani ndege na vifaru vyetu havikutembea? Makomandoo wetu hawakufanya jogging? Watoto wa halaiki hawakutumbuiza? Watanzania hatukuimba wimbo wa Tanzania, Tanzania nakupenda? Wimbo wa Taifa letu haukuimbwa?
4) For your information, Tanzania can survive without the EAC but some EAC member states may not survive without Tanzania!
HONGERA SANA SANA RAIS WETU JAKAYA M. KIKWETE KWA ULIZI WA TANZANIA NA MIPAKA YAKE:fencing::clap2: