Recent content by Mpulusi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

    Maneno mengi tu... Kwa bukoba nayoijua mm... Watasubiri sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tafuta adhabu nyingine usitoe nyeti zako. (Funzo)

    Huenda ukawa ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu. Hivi baada ya kuua nini kinafuata kama siyo jela maisha? Ukimegewa jiulize wapi unakwama, then tafuta suluhu inayotibu msongo wako wa mawazo. Si tabia inayofaa kuwa na vicheche kibao na mali za wengine kijamii... Ila tutoe dhana ya kwamba...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

    Ndugu, Jana katika television moja ya hapa kwetu ijulikanayo kama clouds tv, ilirusha kipindi chenye maudhuhi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja (mashoga).Hoja yangu, katiba yetu na sheria hairuhusu hiloPia mila na desturi zetu haliruhusu hiloJamii yetu haijazoeshwa kuwa na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharrif Hamad kumbe naye English yake ni shiiiiiida!

    Nakubaliana na wewe kaongea vizuri tu... English kwanza ni lugha ya tatu kwake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

    Unaweza ukawaza upya jinsi unavyoyachukulia mahusiano hasa ya mume na mke.. It's all about give and take, Pia find where the true happiness come from itakusaidia sana bro
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fumbo la uumbaji, roho na mwili uozao

    Maada fikirishi sana, tungekuwa na aina fulani ya uthubutu kama huu wa kujiuliza maswali magumu na kuja na majibu chanya, tusingekuwa na tanzania ya hovyo kiasi hiki.... Watawala wanafikiri kawaida sana na ndio waliopewa jukumu la kuamua baadaye yetu katika ulimwengu huu wa kuonekana.. Nguvu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na kitabu cha siri

    Jr... Hizo vingine vya ulimwengu wenu mwingine.. Huu wa kifizikia ndipo tupo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na kitabu cha siri

    Tatizo la ss watu tunafikiri kawaida, huwezi kumwelewa mleta mada.. Total true
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kuagiza rice combine harvester toka China

    Very good, be blessed bro
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo ndiyo daraja la kukupeleka katika mji wa uhuru wa kipato (financial freedom)

    Kwa kuwa kila mwanadamu anataka maendeleo, basi ni dhahiri kwamba huu mchezo unasheria zake, ambazo wachumi hawataki kuwafundisha raia wengi wa dunia, they call it money game. Moja ya sheria mhimu ambayo itatufaa leo hapa jukwani ni hii sheria ya ubuni au ubunifu wenzetu huita creativity...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kuchonga tooth pick

    But fanya kwanza research binafsi then uje na kitu halisi na unachokitaka kweli. Eneo la biashara, workers, management, market strategy and so on
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kuchonga tooth pick

    Wapi upo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kuchonga tooth pick

    Sasa mkuu, unataka kiwanda kidogo uwekeze kiasi gani... Maana hapo kama milion 15iv mzigo umeupata
Back
Top Bottom