Mbona unamuonea huruma mgoni!Au tuelewe vipi?Halafu unahasira na wafumanizi!Aisee!Hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kuikata mboo yake.
Hyo atakuwa kafumaniwa washenzi wakamfanya hivyo!
Mbaya sana
adhabu nyingine zinazidi kipimo! Nani asiye na dhambi hapa duniani?????? Wafanyao unyama kama hao laana kubwa huandama kizazi chao.Mbona unamuonea huruma mgoni!Au tuelewe vipi?Halafu unahasira na wafumanizi!Aisee!
Asante kwa kunijibia swaliadhabu nyingine zinazidi kipimo! Nani asiye na dhambi hapa duniani?????? Wafanyao unyama kama hao laana kubwa huandama kizazi chao.
Sawa ndo maana zikawekwa adhabu ili kuiogopesha jamii kujiepusha na ugoni!Kwa nini mtu asitafute wa kwake aoe awe na wake hata mia! Hadi mtu anyemelee wake za watu!.Mtu akifumaniwa ni kunyofolewa tu!Manake hamna namna tena.adhabu nyingine zinazidi kipimo! Nani asiye na dhambi hapa duniani?????? Wafanyao unyama kama hao laana kubwa huandama kizazi chao.
Sawa ndo maana zikawekwa adhabu ili kuiogopesha jamii kujiepusha na ugoni!Kwa nini mtu asitafute wa kwake aoe awe na wake hata mia! Hadi mtu anyemelee wake za watu!.Mtu akifumaniwa ni kunyofolewa tu!Manake hamna namna tena.[/QUOTE
Unahalalisha ugoni!.Anyway inawezekana ugoni na uzinifu ni kitu kimoja!am
Ambaye hajawahi kuzini,na awe wa kwanza kurusha jiwe.
Hahahaha!!hhaaaa!!eti ugoni na uzinzi ni vitu tofauti duuuh!!Unahalalisha ugoni!.Anyway inawezekana ugoni na uzinifu ni kitu kimoja!
Heeee!Hahahaha!!hhaaaa!!eti ugoni na uzinzi ni vitu tofauti duuuh!!
Huenda ukawa ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu. Hivi baada ya kuua nini kinafuata kama siyo jela maisha?Sawa ndo maana zikawekwa adhabu ili kuiogopesha jamii kujiepusha na ugoni!Kwa nini mtu asitafute wa kwake aoe awe na wake hata mia! Hadi mtu anyemelee wake za watu!.Mtu akifumaniwa ni kunyofolewa tu!Manake hamna namna tena.
Kimsingi hakuna tofauti kati ya uzinzi na ugoni (Ugoni umo ndani ya uzinzi) ila kuna tofauti kati ya uzinzi na uasherati.Heeee!!
Navojua mimi simply ugoni ni tukio la kufanya mapenzi na mtu mwenye mahusiano na mtu mwingine ilihali unajua ana mwenza wake ila uzinzi ni tukio la kufanya mapenzi na mtu ambaye sio mwenza wako.Kimsingi hakuna tofauti kati ya uzinzi na ugoni (Ugoni umo ndani ya uzinzi) ila kuna tofauti kati ya uzinzi na uasherati.