Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

Mkuu danya heshima kwako. Nimekusoma vizuri. Pole sana. Mkuu hiyo unayopitia sio hali ya kawaida japo kwako wewe mwenyewe na baadhi ya watakao kuunga mkono (obviously nao ni kutokana na experiences zao pia) itaonekana ni sahihi. Umefafanua in detail mazingira yaliyokushawishi ufikie uamuzi huo.

Samahani sana ndugu yangu....hauko sahihi. Natambua, kuheshimu na kuhurumia hisia zako kwa dhaMkuu danya nimekusoma. Pole sana. Mkuu hiyo unayopitia sio hali ya kawaida japo kwako wewe mwenyewe na baadhi ya watakao kuunga mkono (obviously nao ni kutokana na experiences zao pia) itaonekana ni sahihi. Umefafanua in detail mazingira yaliyokushawishi ufikie uamuzi huo.

Samahani sana ndugu yangu....hauko sahihi. Natambua, kuheshimu na kuhurumia hisia zako kwa dhati kabisa. Inawezekana wewe mwenyewe umekuwa victim wa mahusiano au umeshuhudia hizo dhoruba zikiwatokea watu wengine kiasi kwamba zimekuathiri kisaikolojia.

Japo ingefaa kupata maelezo yako zaidi (ya nyuma ya pazia), lakini kwa kusoma maandishi yako hapa tu nashawishika kusema kuwa una medical condition inayoitwa Post-Traumatic Stress Disorder (PTSD). Nakupa homework ui-google ili ujitathmini.

Ushauri:
1. Hata kama unajiona uko poa (while in actual sense you are not), nenda kawaone wataalamu wakupe ushauri nasaha. You need urgent psychotherapy.

2. Usipokuwa makini hali uliyonayo sasa (current mental health status) inaweza ku-escalate na kuishia kuwa na chains ya matatizo mengine mapya huko baadae. It can be too late then. Unless kama ulichoandika ni fiction tu.

3. Huku nikiamini kuwa mapenzi hayana "gwiji" kwa wale wanaopenda kiukweli, bado una nafasi ya kuamua kupenda na hatimaye kupata mwanamke ambaye atakufanya ujione kumbe mwanzoni ulikuwa gravely wrong. Muhimu tu ni kuwa jitahidi kutumia akili. Sisi wote ni wahanga wa mapenzi.

4. Jizuie ku-jump into conclusions na kufanya maamuzi makubwa katika maisha unapokuwa uko kwenye stress ya aina fulani. Sina nia ya kuku-judge mkuu danya lakini nahisi umekurupuka kimtindo. Never say never....Ha ha ha.

5. Anza mchakato wa kutafuta ubavu wako when it not too late. Kumbuka kuwa kisichokuua basi kitakufanya uwe imara zaidi. Hata hao wazazi na ndugu zako unaosema kuwa ndio wenye haki ya kula hela zako kumbuka nao mahusiano hayakuwa/hayako rosy or honeymoon kila siku. Ups and downs zipo muhimu tu ni kwamba lazima ziwe within manageable range (which is also subjective).

6. Tafuta watu sahihi katika mazingira yako (kazini, nyumbani etc) wakupe pande zote za shilingi kwenye mapenzi. Inaonyesha huna role models wazuri kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Kila la kher ndugu yangu and sorry mkuu kwa kuandika maneno mengii na kama nitakuwa nimevuka mstari kwenye maelezo yangu in any way.
ti kabisa. Inawezekana wewe mwenyewe umekuwa victim wa mahusiano au umeshuhudia hizo dhoruba zikiwatokea watu wengine kiasi kwamba zimekuathiri kisaikolojia.

Unaweza ukawaza upya jinsi unavyoyachukulia mahusiano hasa ya mume na mke.. It's all about give and take,
Pia find where the true happiness come from itakusaidia sana bro
 
Sasa unamtangazia nani
Eti atajitahidi kusaka hela aishi kwa furaha bila mwanamke wala mtoto,angalia jinsi akili zake zlilivyo mbaya,anataka aishi kinyume na nature,sababu mwanaume ameumbiwa mwanamke ili awe pozo la roho yake,pili sio kwamba wanawake wote ni wabaya,hata wanaume sio wote ni wazuri la hasha,huyu atakuja kugeuka MAUMBA na kunajisi watoto,sababu mwanaume lazima apate mwanamke wa kupanda ili kuendeleza cycle.
 
Heeeee! Eti Grace alimtandika Bob Kofi, huyu Bob ninayemsikia kwa ubabe, siamini macho yangu. Kila mmoja na mbabe wake lol!

Jitahidi upige mimba nje,afu uwe unahudumia mtoto..
Kuoa ni fasheni iliyopitwa na wakati,na ni usumbufu tu,
juzi babu wa watu mgabe amezabwa kofi na mkewe.
Sasa kumbe hata umpe kila kitu,bado mtagombana tu.

Mi maisha ya stress nilishayakataa
 
pole sana ndugu piga mimba utakuja kupata mtoto wakukusaidia uzeeni najua umekata tamaa. mi nakushauri sio wanawake wote ni wabaya pia sio wanaume wote ni wazuri jua hata wanawake wanatulalamikia
sisi wanaume hivyo relax kula jiachie yatapita tuu Mwenyezi-Mungu atakujalia ubavu wako nakushauri tubu madhambi yako jisafishe mtegemee Mungu nae atakupa fungu lako jichanganye na watu relax socialize kicha kitapo la kesho asubuh utakutana na mwanamke atakusahaulisha yote hayo
nakukupa utamu wa kimataifa kuridhisha nafsi yako mkuu. pia walimwengu wabaya labda umelogwa nakushauri sali sana.
 
Kama una hela ya kulisha watu kumi mbona ulikosa hela ya kumpa? 😀 😀 😀
 
Dogo unaonekana ni mtu wa kukata tamaa sana, najuuliza kama kweli una mafanikio hayo umeyapata vipi?

Mto wa kiume hasusi ovyo
 
me nikajua hutaki watoto kwakuwa kulea kazi! kumbe umesusia wanawake na watoto ukasusia 😀 😀

huyo naye kuomba hela usiku na asubuhi ni jipu 😀

anyways brother, let love find you. we endelea na maisha yako, utakutana na Mtu bila kutegemea.

lakini hata ukipata mke ni jambo jema kuAdopt.
 
Habarini,

Mimi ni mtu mzima na nina Akili timamu nimefikia maamuzi ya kutokuja kuoa wala kuwa na moto maisha yangu yote! Sio kwamba sina uwezo wa kuoa lahasha nina uwezo wa kuoa hata wanawake wa 5 na kupata watoto chungu nzima lakini nimekaa nimetafakari sana nimeamua kufikia mamuzi hayo.

Baada ya kuteseka sana na mapenzi ya umri wetu, baada ya kushuhuduia ujinga na usaliti wanao fanya akina dada wa miaka hii, mateso ya kwenye ndoa wanayo yapata watu na adha zingine chungu nzima mimi nimefikia hatua kutotaka kuoa wala kupata mtoto

Nina kazi yangu nzuri tu ambayo naweza kumudu kulea familia hata ya watu 10 lakini kamwe sitokaa kudhubutu kuoa na kuwa na mtoto na sitaki utani katika hili! Nimesh ichosha sana akili yangu katika mapenzi na nimeshuhudia mengi sana katika mapenzi sasa bahati mbaya yote niliyokuwa nayashuhudia ni ya usaliti na mateso katika ndoa na hii inatoka na akili walizonazo dada zetu.

Hivyo sina mda wa kukaa kuchambua kupata huyu anafaa huyu hafai huo mda sina nitahakikisha nafanya kila niwezalo kwa kutumia uwezo wangu wote niwe na maisha mazuri miaka yote! Jasho langu watafaidi wadogo zangu na wazazi wangu, nitapigania kufa na kupona katika kusaka pesa! Katika kumshukuru Mungu kwa pale alipo nifikisha nita adapte mtoto mmoja yatima nitamsomesha na kuishi naye miaka yote tena shule nzuri nitampeleka! Nyumba yangu itakuwa na mfanyakazi mmoja na mtoto mmoja na mimi basi.

Dada yoyote hatadhubutu kuja kwangu kwa namna yoyote ile na wala asijipendekeze kuja kwangu labda awe hana uwezo wa kuzaa ambao hospitalini wamethibitisha ili asije kunikeletea vimimba vya uwongo na ukweli.

Sitaki stress siku hata nikiwa sina hata mia nitaishi kwa amani hakuna wakunisumbua kuliko kuwa na mke sa nne usiku kakuomba hela unamwambia sina mnalala wote sa kumi na mbili asubuhi anakuomba tena hela hivi usiku anadhani alilala peke ake? Mimi nilikuwa kutafuta pesa? Mwisho wa siku mnaishia kugombana na kununiana hiyo mimi hapana sitaki kabisa.

Mwisho haya ni maamuzi binafsi nimeamua kushare nanyi.
Upo Mwanza?
 
we jamaa shida yako ni wanawake hivo tafuta ila usimpende mpige mimba sepa zako akianza kudau pesa za kulea mtoto kataa ili upate nafas ya kumchukua moja kwa moja Mungu akikujalia ndo atakua msaada wako uzeeni mpige chenga huyo mwanamke ili akasirike akutelekezee mtoto na ww chukua hio chance mtunze baby wakk.
 
Habarini,

Mimi ni mtu mzima na nina Akili timamu nimefikia maamuzi ya kutokuja kuoa wala kuwa na moto maisha yangu yote! Sio kwamba sina uwezo wa kuoa lahasha nina uwezo wa kuoa hata wanawake wa 5 na kupata watoto chungu nzima lakini nimekaa nimetafakari sana nimeamua kufikia mamuzi hayo.

Baada ya kuteseka sana na mapenzi ya umri wetu, baada ya kushuhuduia ujinga na usaliti wanao fanya akina dada wa miaka hii, mateso ya kwenye ndoa wanayo yapata watu na adha zingine chungu nzima mimi nimefikia hatua kutotaka kuoa wala kupata mtoto

Nina kazi yangu nzuri tu ambayo naweza kumudu kulea familia hata ya watu 10 lakini kamwe sitokaa kudhubutu kuoa na kuwa na mtoto na sitaki utani katika hili! Nimesh ichosha sana akili yangu katika mapenzi na nimeshuhudia mengi sana katika mapenzi sasa bahati mbaya yote niliyokuwa nayashuhudia ni ya usaliti na mateso katika ndoa na hii inatoka na akili walizonazo dada zetu.

Hivyo sina mda wa kukaa kuchambua kupata huyu anafaa huyu hafai huo mda sina nitahakikisha nafanya kila niwezalo kwa kutumia uwezo wangu wote niwe na maisha mazuri miaka yote! Jasho langu watafaidi wadogo zangu na wazazi wangu, nitapigania kufa na kupona katika kusaka pesa! Katika kumshukuru Mungu kwa pale alipo nifikisha nita adapte mtoto mmoja yatima nitamsomesha na kuishi naye miaka yote tena shule nzuri nitampeleka! Nyumba yangu itakuwa na mfanyakazi mmoja na mtoto mmoja na mimi basi.

Dada yoyote hatadhubutu kuja kwangu kwa namna yoyote ile na wala asijipendekeze kuja kwangu labda awe hana uwezo wa kuzaa ambao hospitalini wamethibitisha ili asije kunikeletea vimimba vya uwongo na ukweli.

Sitaki stress siku hata nikiwa sina hata mia nitaishi kwa amani hakuna wakunisumbua kuliko kuwa na mke sa nne usiku kakuomba hela unamwambia sina mnalala wote sa kumi na mbili asubuhi anakuomba tena hela hivi usiku anadhani alilala peke ake? Mimi nilikuwa kutafuta pesa? Mwisho wa siku mnaishia kugombana na kununiana hiyo mimi hapana sitaki kabisa.

Mwisho haya ni maamuzi binafsi nimeamua kushare nanyi.
Mungu alimuumba mtu mwaume,akamfanyia msaidizi kutoka ubavuni kwake ambae ni mwanamke,
Mwamini Mungu akupe mke mwema,maana apatae mke apata kitu chema,naimani ukiomba hakuna linaloshindikana kwa Mungu hapo umetumia akili zako tuu,hebu nitafte imbox nikusaidie jamani,

Mke mwema ni nani awezae kumtambua?
 
mwanaume na ndoto zake....salute kama utaweza....RAIS wa botswana IAN KHAMA anakaribia miaka 60 na hana mpango wa kuoa ila yuko smart sana kichwani nadhani alifanya maamuzi kama yako miaka kadhaa nyuma
 
Habarini,

Mimi ni mtu mzima na nina Akili timamu nimefikia maamuzi ya kutokuja kuoa wala kuwa na moto maisha yangu yote! Sio kwamba sina uwezo wa kuoa lahasha nina uwezo wa kuoa hata wanawake wa 5 na kupata watoto chungu nzima lakini nimekaa nimetafakari sana nimeamua kufikia mamuzi hayo.

Baada ya kuteseka sana na mapenzi ya umri wetu, baada ya kushuhuduia ujinga na usaliti wanao fanya akina dada wa miaka hii, mateso ya kwenye ndoa wanayo yapata watu na adha zingine chungu nzima mimi nimefikia hatua kutotaka kuoa wala kupata mtoto

Nina kazi yangu nzuri tu ambayo naweza kumudu kulea familia hata ya watu 10 lakini kamwe sitokaa kudhubutu kuoa na kuwa na mtoto na sitaki utani katika hili! Nimesh ichosha sana akili yangu katika mapenzi na nimeshuhudia mengi sana katika mapenzi sasa bahati mbaya yote niliyokuwa nayashuhudia ni ya usaliti na mateso katika ndoa na hii inatoka na akili walizonazo dada zetu.

Hivyo sina mda wa kukaa kuchambua kupata huyu anafaa huyu hafai huo mda sina nitahakikisha nafanya kila niwezalo kwa kutumia uwezo wangu wote niwe na maisha mazuri miaka yote! Jasho langu watafaidi wadogo zangu na wazazi wangu, nitapigania kufa na kupona katika kusaka pesa! Katika kumshukuru Mungu kwa pale alipo nifikisha nita adapte mtoto mmoja yatima nitamsomesha na kuishi naye miaka yote tena shule nzuri nitampeleka! Nyumba yangu itakuwa na mfanyakazi mmoja na mtoto mmoja na mimi basi.

Dada yoyote hatadhubutu kuja kwangu kwa namna yoyote ile na wala asijipendekeze kuja kwangu labda awe hana uwezo wa kuzaa ambao hospitalini wamethibitisha ili asije kunikeletea vimimba vya uwongo na ukweli.

Sitaki stress siku hata nikiwa sina hata mia nitaishi kwa amani hakuna wakunisumbua kuliko kuwa na mke sa nne usiku kakuomba hela unamwambia sina mnalala wote sa kumi na mbili asubuhi anakuomba tena hela hivi usiku anadhani alilala peke ake? Mimi nilikuwa kutafuta pesa? Mwisho wa siku mnaishia kugombana na kununiana hiyo mimi hapana sitaki kabisa.

Mwisho haya ni maamuzi binafsi nimeamua kushare nanyi.
Cc le mutuz et al.
 
Back
Top Bottom