Rais Magufuli na kitabu cha siri

Rais Magufuli na kitabu cha siri

Nimemkuta mleta mada mahali fulani huko kitaa anagonbana na mzee fulani...kisa eti kamdanganya habari za kitabu cha siri, kumbe siyo kweli.
 
Hv na yule aliyepita alipewa hcho kitabu?au kila anayekuja anapewa chakwake toleo jipya maana naona tofaut kubwa sana kat ya aliyetoka na huyu
 
Mwongozo wa Nchi yeyote Ni KATIBA, Hayo Mengine ya Vitabu ya Matunguri Na Ramli unavijua wewe. In short there is no such thing as a secret book! Au hicho Kitabu ndicho kilichomwambia JK awalaze Wamama chini Mhuhimbili, Aachie Makontena bila Kodi, Alambe Escrow! Ashindane kuipiku record ya Vasco Da Gama, Na Kitabu hicho hicho Kikamwambia JPM, Apige vita mambo hayo. My best you sound soooooo funny! Hizo hadaa za Juma na Roza, na Bulicheka peleka kwa stooges wa Lumumba! Good try though!
Splendid
 
Tatizo la ss watu tunafikiri kawaida, huwezi kumwelewa mleta mada.. Total true
 
Jr... Hizo vingine vya ulimwengu wenu mwingine.. Huu wa kifizikia ndipo tupo
 
Nivyema tukajuwa Rais hafanyi jambo lolote pasipo kuwa na muongozo au watu nyuma yake kumuongozo. Kitabu cha siri ambacho wanao kiona ni wale tu wenye cheo cha Rais wa jamuhuri wa muungano tu ndio muongozo wa kazi zake za urais. Wajinga wachache wasio juwa kuwa Rais anamuongozo ndio wanao tupotosha. Zipo siri nzito ambazo mim na wewe hatuzijuw na nibora tukae kimya maana Rais hajaribu kaz ila anafanya kaz kwa mujibu wa muongozo huo. Ipo kazi lazima ifanyike chini ya Mh Magufuli. Wengi watalia na kupiga kelele ila kaz lazima ifanyike.
Well said...Unterischt.....ni ....kijerumani ...!!!!
 
Back
Top Bottom