Recent content by mporoto

  1. mporoto

    JamiiForums Tanzania Mwenendo huu wa Siha na Kinondoni dhidi ya Upinzani unaongeza chuki kutoka kwa wananchi kuliko faida

    Kupitia hizi chaguzi ndogo nimeshuhudia nguvu kubwa ya darasa la saba ikitumiwa ipasavyo!
  2. mporoto

    JamiiForums Tanzania UTUMISHI: Hakuna nyongeza ya msahahara kwa sasa, tamko la Rais bado linafanyiwa kazi

    Mbona kwenye kuongeza makato mchakato urichukua mda Mfupi? Dah ametunyonya damu imeisha Sasa anakula Mifupa!
  3. mporoto

    JamiiForums Tanzania Mume wangu huwa hatandiki kitanda

    Si ameisha kutandika! Labda uniambie kama hataki kutandika Mara mbili
  4. mporoto

    JamiiForums Tanzania Halotel Mnakera Kwahili Uvumilivu Umenishinda

    Hamia huku ujazwe
  5. mporoto

    JamiiForums Tanzania Kumbe alifukuzwa seminari

    Wewe Joseverest Kuna uzi wa 'waalimu mnakera' tafadhari utafute Kisha tupe majibu
  6. mporoto

    JamiiForums Tanzania Waalimu mnakera sana!

    Huyu jamaa kumbe mwalimu
  7. mporoto

    JamiiForums Tanzania Waalimu mnakera sana!

    Mwl Joseverest thibitisha hili aha ha ha
  8. mporoto

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Shinyanga Guest House yaungua moto, Mmliki wake aungua hadi kifo

    Furaha gani sasa wewe umeipata
  9. mporoto

    JamiiForums Tanzania Kupungua kwa njiti za viberiti

    Mkuu ni rahisi tu wewe ukisha nunua kiberiti toka kampuni yeyote hesabu sticks Kisha majibu utayapata
  10. mporoto

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi nilioufanya katika elimu ya bongo

    Mambo ya vyeti hayajawahi kumuacha mtu salama
  11. mporoto

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi nilioufanya katika elimu ya bongo

    Ukweli mchungu sana
  12. mporoto

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi nilioufanya katika elimu ya bongo

    Nimewaonea huku jf post za mapenzi ndo zinaongoza kwa kuchangiwa zaidi
  13. mporoto

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi nilioufanya katika elimu ya bongo

    Mimi kama raia wa kawaida nimegundua kuwa baadhi ya wanaojiita wasomi hapa bongo wengi wao mikononi wanavyeti kichwani wamejaa sex! pamoja na hayo haya mambo ya vyeti vyeti hayajawahi kumuacha mtu salama!
  14. mporoto

    JamiiForums Tanzania Utumwa ulifanywa na Wazungu

    unajaribu kueleza ukweli na huku ukitoa ushaidi (evidence) dhaifu sana! mpaka sasa hakuna kitabu chochote kilicho jaribu kutoa takwimu sahihi za kiwango gani wafrika walio kamatwa, kusafirishwa na kuteswa enzi za watumwa. hiyo hoja ya kusema ukitembea nchi za urabuni kuna wafrika wachache si...
Back
Top Bottom