UTUMISHI: Hakuna nyongeza ya msahahara kwa sasa, tamko la Rais bado linafanyiwa kazi | Page 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UTUMISHI: Hakuna nyongeza ya msahahara kwa sasa, tamko la Rais bado linafanyiwa kazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OKW BOBAN SUNZU, Jul 16, 2017.

 1. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2017
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 21,959
  Likes Received: 15,713
  Trophy Points: 280
  Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Dr.Ndumbaro amesema nyongeza ya mshahara iliyotangazwa na rais haitaongezwa kwa sasa kwa kuwa bado inafanyiwa kazi.

  Katibu Mkuu alizungumza haya wakati anatoa ufafanuzi juu ya kurejeshwa kazini kwa watumishi waliokata rufaa kutokana na vyeti feki.

  MY TAKE
  Watumishi wa umma muungeni mkono Rais kwa kufanya kazi, kulilia nyongeza ya mshahara ni kumkwamisha Rais kutumikia watanzania masikini (Natania tu)
   
 2. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #121
  Jul 17, 2017
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,037
  Likes Received: 11,086
  Trophy Points: 280
  Mtaongezewa 2019/2020 ili mumpigie kura.
   
 3. Dragoon

  Dragoon JF-Expert Member

  #122
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 6,332
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  Mtasubiri sana tu
   
 4. MWALLA

  MWALLA JF-Expert Member

  #123
  Jul 17, 2017
  Joined: Dec 12, 2006
  Messages: 8,763
  Likes Received: 2,565
  Trophy Points: 280
  kuna siku mtakuja fanya kzi zote wenyewe. mtatafuta wa kuwasaidia na hamttawapata
   
 5. Tunwa Ramadhani

  Tunwa Ramadhani New Member

  #124
  Jul 18, 2017
  Joined: Mar 12, 2015
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
   
 6. M

  Mtarban JF-Expert Member

  #125
  Jul 18, 2017
  Joined: Jan 14, 2015
  Messages: 2,988
  Likes Received: 3,222
  Trophy Points: 280
  lakini wafanyakazi wengi mbona wanafurahi na ndio wanaoongoza kusema aendelee kukaza, so acheni hiyo inawatosha. hizi zilizopo tunanunu mabombadia
   
 7. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #126
  Jul 18, 2017
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6,795
  Likes Received: 932
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwani hata akiwaongezea buku si itahesabika kama nyongeza!!!!.....
   
 8. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #127
  Jul 18, 2017
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6,795
  Likes Received: 932
  Trophy Points: 280
  Hamieni jeshini tu hamna namna....
   
 9. n

  nkongu ndasu JF-Expert Member

  #128
  Jul 18, 2017
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 22,527
  Likes Received: 3,751
  Trophy Points: 280
  jk kafanya mambo mengi sana kwa nchi hii kuliko jpm kwa mfano wakati wa kikwete bodi ya mikopo ilikuwa inatoa mikopo kwa wanafunzi wote ilimradi wamepata udahili.lakini leo serikali imeondoa hilo.
   
 10. bily

  bily JF-Expert Member

  #129
  Jul 18, 2017
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 7,772
  Likes Received: 2,783
  Trophy Points: 280
  Karl Marx alieleza haya mambo vizuri Sana . Tangu lini muajiri akapenda mafanikio ya mfanyakazi wake ? Never ever.
   
 11. Totos Boss

  Totos Boss JF-Expert Member

  #130
  Jul 18, 2017
  Joined: Dec 30, 2012
  Messages: 4,462
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 280
  Pigeni kazi neema itakuja baadae

  fail to plan = plan to fail.
   
 12. N

  Nguto JF-Expert Member

  #131
  Jul 18, 2017
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,466
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Yaani wewe!!!!
   
 13. mporoto

  mporoto Member

  #132
  Jul 18, 2017
  Joined: Dec 12, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 25
  Mbona kwenye kuongeza makato mchakato urichukua mda Mfupi? Dah ametunyonya damu imeisha Sasa anakula Mifupa!
   
 14. king gabusyo

  king gabusyo Member

  #133
  Jul 18, 2017
  Joined: Jul 16, 2017
  Messages: 71
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 25
  Acha uwongo wewe, mwache asafishe maovu yote aliyoyakuta.

  Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
   
 15. king gabusyo

  king gabusyo Member

  #134
  Jul 18, 2017
  Joined: Jul 16, 2017
  Messages: 71
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 25
  Hilo nalo neno

  Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
   
 16. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #135
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,642
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mda wao uishe waondoke mana naona show za kibabe tu

  Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
   
 17. c

  chige JF-Expert Member

  #136
  Jul 18, 2017
  Joined: Jul 11, 2016
  Messages: 5,344
  Likes Received: 8,643
  Trophy Points: 280
  Na sio uzalendo (sitanii)!
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #137
  Jul 18, 2017
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,359
  Likes Received: 4,003
  Trophy Points: 280
  Hata hiyo buku hakuna

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #138
  Jul 18, 2017
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,917
  Likes Received: 1,309
  Trophy Points: 280
  Hivi TRA washatoa mapato ya serikali mwezi huu?
   
Loading...