Recent content by mpndz

  1. mpndz

    JamiiForums Tanzania Na nyie vitu vya ndani huwa vinaisha kwa wakati mmoja kwa kufuatana?

    Hii mara nyingi hutokea pale unaposhindwa kuzichanga karata zako vizuri, yaani... Ukaguzi wa mara kwa mara na uzoefu, unapojua nikinunua kilo kadhaa humaliza siku kadhaa, hivyo hukupa uzoefu wa makadirio ya mahitaji yako kwa mwezi husika ama juma husika
  2. mpndz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anam-post Bosi wake WhatsApp Status

    Sijaelewa... Unaomba ushauri upi katika hili? 🤔
  3. mpndz

    JamiiForums Tanzania Kwanini waislamu hawalalamiki mkatoliki Magufuli kumfanya Rais Samia?

    Hili tatizo la udini ni la kihistoria japo zaidi huwa ni maslahi ya kisiasa. Nani awe chini na nani awe juu Unaposema mfumo (system) ya uongozi ni kama uchukue picha ya mishipa ya damu ya mwili jinsi inavyofanya kazi yake kwa kushirikiana na viungo vingine vya mwili kufanikisha hilo. Mfumo wa...
  4. mpndz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dark web hamna lolote!! Nimeingia huko sijaona kinachoelezwa!

  5. mpndz

    JamiiForums Tanzania Mwene's rough day

    WADAU natumai wote hamjambo, shida yangu hapa mweye kuwa na pdf ya MWENE'S ROUGH DAY (story book) tafadhali naomba Dogo alipoteza Kitabu cha shule wamemkazia hadi akilipe. Nimekisaka hadi nimechemsha
  6. mpndz

    JamiiForums Tanzania Natafuta Story book

    WADAU natumai wote hamjambo, shida yangu hapa mweye kuwa na pdf ya MWENE'S ROUGH DAY (story book) pls aiweke hapa
  7. mpndz

    JamiiForums Tanzania Wataalam hiyo mistari ina kazi gani?

    Inamaanisha, anayeiona ana hali mbaya kiuchumi 🧑‍🦯
  8. mpndz

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

    Hii issue ni mazoea kati ya mtu na mtu Pia kuna wengine huvaa nguo mbili tu Shati na Suruali, imeisha
  9. mpndz

    JamiiForums Tanzania Chipsi za kfc huwa zinakaangwaje? Mbona size moja na tamu mno

    Kujua viwango ndo kipengele
  10. mpndz

    JamiiForums Tanzania Chipsi za kfc huwa zinakaangwaje? Mbona size moja na tamu mno

    Na uswahilini utamuuzia nani?
  11. mpndz

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nimepigwa Aliexpress

    The only and better way ni kukomaa nao tu 🧑‍🦯
  12. mpndz

    JamiiForums Tanzania Majirani wamemripoti jamaa kituo cha polisi kisa kazi yake haijulikani! Sasa anadai Milioni 500 kwa kuletewa usumbufu

    Hawezi kuwasamehe na kaweka wanasheria wa3 Atawalipaje? Kesi ya madai nayo ni aina ya BETTING
  13. mpndz

    JamiiForums Tanzania TA

    WADAU, hivi ni kweli tezi dume halina tiba? Tatizo limekuwa kubwa lkn wengi wa wanaume kama ilivyokawaida, mambo huwa kimya kimya hali mtu anaugulia Shida ni kile kipimo cha 🖕
Back
Top Bottom