BoyHimself
Member
- Mar 27, 2022
- 30
- 24
Wataalam hiyo mistari ina kazi gani?
Na inamaanisha nini?😇😇
Na inamaanisha nini?😇😇
Dah! sijawahi(gi) hata kuwaza,natumia tuWataalam hiyo mistari ina kazi gani?
Na inamaanisha nini?😇😇
Dah! sijawahi(gi) hata kuwaza,natumia tu
Wataalam hiyo mistari ina kazi gani?
Na inamaanisha nini?😇😇
Inamaanisha, anayeiona ana hali mbaya kiuchumiWataalam hiyo mistari ina kazi gani?
Na inamaanisha nini?😇😇
Uko sahihiMkuu hii mistari kwa nilivyoskia ni kwamba imewekwa kwa ajili ya ndugu zetu wasioona na wanaweza kutambua vizuri tu kwamba hii ni ngapi na hii ngapi!? Kama nimekosea mnisahihishe