Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,129
- 11,385
Chai
unanishambulia Kila kukicha mkuu ,hujali matatizo nayopitia?tukiachana na tatizo la afya ya akili ulilonalo au unalojaribu kulitafuta kwa nguvu, changamoto nyingine ipo hapo chini
..kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..
Kwa hiyo ukaona umpatie kabisa boss mkeoKwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..
Leo asubuhi amempost bosi wake ndugu Abudala na kuandika "mtu mwenye moyo wake mjini , sio Hawa wakwetu wanaume videvu, wavaa shati za vitenge na suruali za ulimbo".
Ukweli nahisi kudhalilika kupitia wasapu sitatasi zake, hasa ukizingatia huyo bosi wake ni juzi alinipa laki moja na kuomba mke wangu ahamia kazini kwake namimi nikakubali.
Nalia kwa uchungu ndugu zangu!!!!
mimi sijali matatizo yako ila najali ustawi wako mkuuunanishambulia Kila kukicha mkuu ,hujali matatizo nayopitia?
Huyu huyu 😂Ndiye yule alipangiwa nyumba na bosi karibu na kazini?
Umemuuza mkeo kwa shingi laki moja tu.Kwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..
Leo asubuhi amempost bosi wake ndugu Abudala na kuandika "mtu mwenye moyo wake mjini , sio Hawa wakwetu wanaume videvu, wavaa shati za vitenge na suruali za ulimbo".
Ukweli nahisi kudhalilika kupitia wasapu sitatasi zake, hasa ukizingatia huyo bosi wake ni juzi alinipa laki moja na kuomba mke wangu ahamia kazini kwake namimi nikakubali.
Nalia kwa uchungu ndugu zangu!!!!
Kwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..
Leo asubuhi amempost bosi wake ndugu Abudala na kuandika "mtu mwenye moyo wake mjini , sio Hawa wakwetu wanaume videvu, wavaa shati za vitenge na suruali za ulimbo".
Ukweli nahisi kudhalilika kupitia wasapu sitatasi zake, hasa ukizingatia huyo bosi wake ni juzi alinipa laki moja na kuomba mke wangu ahamia kazini kwake namimi nikakubali.
Nalia kwa uchungu ndugu zangu!!!!
Sijaelewa...Kwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..