Recent content by mpingomweusi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku

    Ahsante,nashukuru kwa ushauri wako.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku

    Habarini za Leo? Samahani naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu.Ni namna gani unaweza watenganisha kuku wa kienyeji wawili wanaotaga bandani lakini sehemu moja japokuwa tumewaandalia vyumba tofauti ktk banda moja?.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akikuomba vitu hivi vitatu jua hana mpango wa kukuoa

    Mkuu, vp na wale;baby nimekumiss kweli, naomba nitumie picha zako ukiwa kama vile daktari anakupokea toka kwenye tumbo la mama yako kwa mara ya kwanza kukanyaga duniani,I lov U;·
  4. M

    JamiiForums Tanzania Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

    Mmmhhhh,sasa sophia alikuwa anataka ampeleke wapi!!!!!????.
  5. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

    Vichwa vya vizazi vya nyoka utavijua tu[emoji2][emoji2][emoji2]!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyemchukua bar usiku kanifanya vibaya

    Tunasubiria uzi wako wa harambee, ukiwa tayari tujuze tafadhali.
  7. M

    JamiiForums Tanzania LG 3D smart TV 50" used 800000

    6.5 unachukua?.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri ya A level yenye ada isiyozidi 1M

    Hongera kwa jibu lako nzuri.Una udugu na Bashite?.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nyoka kutikisa mkia huashiria nini?

    Daaah mungu kweli kaumba viumbe tofauti tofauti.
  10. M

    JamiiForums Tanzania AIBU TUPU: Ubalozi wa Tanzania hapa Zimbabwe...

    Yaelekea mtoa mada huo ndio ubalozi wake wa kwanza wa Tanzania kuutembelea akiwa nje ya nchi.kokote duniani utakapoenda kwenye balozi Za Tanzania lazima utakuta wazawa wa nchi mwenyeji wakifanya kazi pale,hivyo hivyo hata nchi nyingine kwetu Tanzania ambazo zina ubalozi wao kwetu Tanzania kuna...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya mchezaji Langa Lesse Bercy wa Congo Brazzaville

    Halafu alishawahi kuwa mcheza show wa pepe kalle kabla hajajikita kwenye soka, sasa piga hesabu umri wake!!!.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mambo haya ni mazito na Msikimbile kuwa na hasira, kwani hasira hasara

    Hizo taarabu hizo,ni bora wewe na wafuasi wako mkajiunga na Hadija kopa au Aisha Mashauzi tujue moja
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za serikali kuhamia Dodoma zabainika

    Pumba tupu, kama huna cha ku present ni bora ukae Kimya au changia ya wenzio.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Jaribuni kuandamana muone mtakavyoshikiza UKUTA kenge nyie.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kwa haraka simu samsung A3 , A5 bei poa sana

    A5 bei gani,
Back
Top Bottom