Natafuta shule nzuri ya A level yenye ada isiyozidi 1M

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,743
25,535
Naomba mnitajie shule nzuri ya A level ya private ya boarding zinazopatikana mikoa ya
-Tanga
-Kilimanjaro
-Singida
-Mwanza
-Arusha
d6c607e03e209014ea61d7aff9a16a31.jpg

Ada isizidi 1M.
Asanten
 
Back
Top Bottom