Sababu za serikali kuhamia Dodoma zabainika

Nyerere enzi zake nae alitaka kuhamisha serikali kuipeleka dodoma na wakati huo ilikua chama kimoja tu, unatuambiaje na hapo pia?

Sio alitaka tu bali alihamisha wizara ya makamu wa 2 wa raisi na waziri mkuu mzee Rashid Kawawa.Pia aliunda Wizara ya ustawishaji wa makao chini ya Chief Adam Sapi Mkwawa,na akaunda CDA chini ya Sir Gorge.Zote zilikuwa Dodoma
 
Watu wengi watakuwa wanajiuliza itawezekanaje serikali hii kuhamia Dodoma ndani ya muda mfupi wakati serikali zote zilizopita, ikiwamo serikali ya muasisi wa makao makuu hayo, Mwalimu Julius Burito, zilishindwa kufanya hivyo. Aidha, kuna baadhi wanadhani huenda serikali inahamia Dodoma kama njia ya kumuenzi baba wa Taifa. La hasha! Imebainika sababu KUU ya serikali kuikimbia Dar es Salaam ni kuepuka aibu ya kuwa chini ya himaya ya UKAWA, jambo ambalo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1960.

Kama mnavofahamu, serikali ya UKAWA ndiyo inayotawala jijini Dar es Salaam, baada ya kufanikiwa kunyakua umeya wa jiji na halmashauri mbili kati ya tatu za jiji. Dar es Salaam imekuwa ikiongozwa na CCM miaka nenda miaka rudi lakini katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, ambapo Waziri Mkuu mstaafu, Dr Edward Ngoyai Lowassa alikuwa mgombea kupitia UKAWA, CCM waliangukia pua. Hili jambo halikuwafurahisha viongozi wa CCM hata kidogo. Baada ya kutupa kete zao zote kulazimisha watawale jiji hili kukwama, sasa wamebakiwa na kete MOJA tu….kulikimbia jiji! Sasa mtu unaweza ukajiuliza: hivi siku UKAWA wakifanikiwa kutawala jiji la Dodoma, serikali itakimbilia wapi tena? Mbona serikali hii inakuwa na uoga wa kike kiasi hiki? Ni suala la kusubiri na kuona itakuwaje.
Very True , na nakwambia hivi , kuhamia dodoma ni kuamsha wagogo wote hivyo kuwazindua na kujiona wanatumika kuisimika ccm nchi hii .
 
Magufuli amesema kuhamia Dodoma ni ndani ya miaka 4 iliyobaki ya utawala wake.
Washika UKUTA yawapasa muelewe
 
hili ndo tatizo la watoto waliozaliwa 1990's kuvamia siasa bila kuchunguza kwa umakini baba zao na mama zao huko nyuma walijadili na walipanga nini.........
 
Watu wengi watakuwa wanajiuliza itawezekanaje serikali hii kuhamia Dodoma ndani ya muda mfupi wakati serikali zote zilizopita, ikiwamo serikali ya muasisi wa makao makuu hayo, Mwalimu Julius Burito, zilishindwa kufanya hivyo. Aidha, kuna baadhi wanadhani huenda serikali inahamia Dodoma kama njia ya kumuenzi baba wa Taifa. La hasha! Imebainika sababu KUU ya serikali kuikimbia Dar es Salaam ni kuepuka aibu ya kuwa chini ya himaya ya UKAWA, jambo ambalo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1960.

Kama mnavofahamu, serikali ya UKAWA ndiyo inayotawala jijini Dar es Salaam, baada ya kufanikiwa kunyakua umeya wa jiji na halmashauri mbili kati ya tatu za jiji. Dar es Salaam imekuwa ikiongozwa na CCM miaka nenda miaka rudi lakini katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, ambapo Waziri Mkuu mstaafu, Dr Edward Ngoyai Lowassa alikuwa mgombea kupitia UKAWA, CCM waliangukia pua. Hili jambo halikuwafurahisha viongozi wa CCM hata kidogo. Baada ya kutupa kete zao zote kulazimisha watawale jiji hili kukwama, sasa wamebakiwa na kete MOJA tu….kulikimbia jiji! Sasa mtu unaweza ukajiuliza: hivi siku UKAWA wakifanikiwa kutawala jiji la Dodoma, serikali itakimbilia wapi tena? Mbona serikali hii inakuwa na uoga wa kike kiasi hiki? Ni suala la kusubiri na kuona itakuwaje.
MSOGA BWAGAMOYO!!!!!!!!!!!
 
Mawazo mgando kweli. Kwani wazo lilipotolewa kulikuwa na utawala gani?
 
Kwahiyo wakihamia dodoma dar itakua umetoka mikono mwa ukawa? Hata uchonge vipi kuhamia lazima tuhamie. Hzo biashara zenu za dar na kufanya kwenu kaz ofis mbilimbili mtajuta.
 
Watu wengi watakuwa wanajiuliza itawezekanaje serikali hii kuhamia Dodoma ndani ya muda mfupi wakati serikali zote zilizopita, ikiwamo serikali ya muasisi wa makao makuu hayo, Mwalimu Julius Burito, zilishindwa kufanya hivyo. Aidha, kuna baadhi wanadhani huenda serikali inahamia Dodoma kama njia ya kumuenzi baba wa Taifa. La hasha! Imebainika sababu KUU ya serikali kuikimbia Dar es Salaam ni kuepuka aibu ya kuwa chini ya himaya ya UKAWA, jambo ambalo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1960.

Kama mnavofahamu, serikali ya UKAWA ndiyo inayotawala jijini Dar es Salaam, baada ya kufanikiwa kunyakua umeya wa jiji na halmashauri mbili kati ya tatu za jiji. Dar es Salaam imekuwa ikiongozwa na CCM miaka nenda miaka rudi lakini katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, ambapo Waziri Mkuu mstaafu, Dr Edward Ngoyai Lowassa alikuwa mgombea kupitia UKAWA, CCM waliangukia pua. Hili jambo halikuwafurahisha viongozi wa CCM hata kidogo. Baada ya kutupa kete zao zote kulazimisha watawale jiji hili kukwama, sasa wamebakiwa na kete MOJA tu….kulikimbia jiji! Sasa mtu unaweza ukajiuliza: hivi siku UKAWA wakifanikiwa kutawala jiji la Dodoma, serikali itakimbilia wapi tena? Mbona serikali hii inakuwa na uoga wa kike kiasi hiki? Ni suala la kusubiri na kuona itakuwaje.
Sidhani kama kuna ukweli wowote katika hili, ingawa serikali yangu imekuwa kurupushi mno!
 
Tatizo ni Umakini wa kusikiliza kinachosemwa na kusoma Historia ya Nchi yako ukaelewa ni nini kilikuwa.Tatizo mmekuwa watu wa copy na kupaste Unachoambiwa
 
Sio alitaka tu bali alihamisha wizara ya makamu wa 2 wa raisi na waziri mkuu mzee Rashid Kawawa.Pia aliunda Wizara ya ustawishaji wa makao chini ya Chief Adam Sapi Mkwawa,na akaunda CDA chini ya Sir Gorge.Zote zilikuwa Dodoma
sasa haya yote yaliishia wapi yaje kuibuka wakati huu ambao Dar iko chini ya UKAWA?
 
Kwani mkuu Dodoma ipo chini ya nani? Ila siasa za kiafrika hazina dira wala ukomavu,ni mauzauza ila itokee nadra ya akina Nyerere na sasa Magufuri lakini niulize swali hili 2020
 
Watanzania kweli wameijua siasa, kina mambo mengine yanaletwa humu mpaka tunabaki kijiuliza hii elimi yetu ilikosea wapi.
 
Masikini.... Mungu saidia akili hizi.
umeona eeh? akili za CCM ni balaa....ni sawa na mamba anayekimbilia mtoni kwa kukwepa manyunyu ya mvua. yaani CCM haeleweki kabisa.
 
Back
Top Bottom