Nyoka kutikisa mkia huashiria nini?

Nyoka kutikisa mkia huashiria nini?

Wewe unazungumzia nyoka jamii ya rattle i.e. rattle snake. Sio nyoka wote wana uwezo wa kufanya hivyo bali ni jamii hiyo tu! Ile sauti kama chekeche inayotoka mkiani ni kutoka kwenye magamba special aliyonayo. Wataalam hawana jibu la moja kwa moja kuhusu ni kwanini analiza magamba yake lakini wengi wanasema huwa anatoa hiyo sauti kama defensive mechanism ili kuwaonya viumbe wengine wasimkaribie. Ni kama mbwa anavyobweka. Na kuna wanaosema anatoa hiyo sauti ili kuwavutia viumbe wadogo anaokula kama msosi wake..
Angalia hii clip hapa

Aksante mkuu ila hao 'rattle snake' wakoje?
 
Wakuu, nipatapo muda huwa naangalia TV chaneli ya Animal Planet. Kilichonisukuma kujua ni jinsi nyoka anapochezesha mkia wake (sehemu ya mwisho ya mwili wake) na kutoa mlio kama chekeche hivi, huwa anaashiria nini?
host wa hiko kipindi hajaelezea??
 
Wakuu, nipatapo muda huwa naangalia TV chaneli ya Animal Planet. Kilichonisukuma kujua ni jinsi nyoka anapochezesha mkia wake (sehemu ya mwisho ya mwili wake) na kutoa mlio kama chekeche hivi, huwa anaashiria nini?
Ukiona Ivo ujue anakupenda
 
Kwa kawaida jamii nyingi za nyoka (koboko usimuweke kundi hili) hua wanakua wa kwanza kutafuta njia ya kutoroka wanapoona mnyama akiwasogelea (namaanisha mpaka binadamy) hii inaonesha pia ni kwanini facts nyingi za Anaconda hazijulikani.

Akiwa ameamua kukutoroka ukalazimisha kumzinga mpaka akawa hana namna nyingine ya kutoroka hukaa mkao wa kushambulia na kuanza tabia za kukupa tahadhari.
1. Cobra atatanua shingo yake.
2. Black mamba ataachama mdomo na kukuonesha mdomo wake.
3. Rattle snake atachezesha mkia wake.

Hao nyoka wanaotoa mlio mkiani ni rattle snake na si kwamba mlio wao ni 'chekeche' bali hua mlio kama wa simu ikiwa inavibrate, hivyo inawezekana hata usisikie kama anakupa onyo.

Kutikisa mkia pia hufanywa ikiwa amekaa windoni na anajiandaa kufanya ambush (kumbuka nimesema mlio ni kama wa vibration) hivyo hata mnyama anayewindwa anaweza asisikie.

Kwangu mimi naona kua nyoka atatikisa mkia akiwa anajihami au akiwa anawinda na akitoa mlio wa 'hhssss' huyo ni kobra na huo hautokei mkiani ni mdomoni and inaweza kua too late kufigure out nini kimetoa mlio maana mate yake yana accuracy ya mpaka futi 7
 
Aksante mkuu ila hao 'rattle snake' wakoje?
rattlesnake-tongue.jpg.adapt.945.1.jpg
 
Aisee kumbe maisha magumu na mawazo ya ajira ni kwangu tu , yaan mtu hadi anapata kuwaza kutaka kujua nyoka akitikisa mkia anamanisha nini ee mungu nibariki na nipunguzie ugumu wa maisha nami sku moja nije na thread ya kwann kinyonga anatembea pole pole
 
Aaaaa siwajua tena serikali yet hii
ha ha ha! umefanya nikumbuke maneno haya "tumeipenda wenyewe" "acha waisome nambaee""hapa kazi tu".ndo hivyo twende sambamba na hali
haujambo lkn..?
 
ha ha ha! umefanya nikumbuke maneno haya "tumeipenda wenyewe" "acha waisome nambaee""hapa kazi tu".ndo hivyo twende sambamba na hali
haujambo lkn..?
Sijambo nimekumisi tu
 
Ungesikiliza vizuri Animal Planet ungeyasikia majibu... Mbona wanaelezea kila kitu...
 
Back
Top Bottom